Kocha wa Simba Aussems alia na ratiba isiyotekelezeka

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Kocha wa Simba kupitia mtandao wa Twitter ameonyesha kushangazwa na ratiba ya TPL isiyozingatia afya za wachezaji huku alisema ratiba hiyo haitekelezeki akizingita mechi zingine zinachezwa saa 8 mchana huku wakisafiri mikaoni kwa Muda mchache


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi mwezi wa sita tutakuwa AFCoN, kama huyo mandevu wenu anataka ligi iishe mwenzi July atakuwa ana matatzo ya akili. Liverpool Yuko UEfa hana kiporo.
Man City Yuko FA na UEfa kwenye ligi ana kiporo kmoja!

Simba imeshatolewa ligi ya mabingwa Afrika halafu viporo zaid ya saba.

Imagine simba angekuwa na kwenye kombe la FA, viporo vingekuwa zaid ya kumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tff ni dhaifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha watukomeshe, tulijifanya kuwa tunafanya maandalizi ya mechi za CL kwa siku 12!

Ule ulikuwa uzembe mkubwa sana kwenye kamati yetu ya ratiba.

Mfano umecheza Jumamosi, unashindwa nini kucheza Jumanne kama mechi nyingine iko Jumamosi inayofata?
 
Kocha ana kosa gani? Hizi lawama anapaswa zipelekwe TFF kocha anatetea mazingira yake ya kufanyika kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha ana kosa gani? Hizi lawama anapaswa zipelekwe TFF kocha anatetea mazingira yake ya kufanyika kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo uongozi wenu uliokuwa unaomba mechi zisogezwe mbele yy alikuwa wapi?
Clubs za Tz Zina matatzo sana zikiwa na mechi za kimataifa, zinaomba maandalizi ya muda mrefu kana kwamba zinakutana na timu ya sayar ya tano , labda hiyo timu inawachezaji wenye miguu mitatu.

Huyo kocha atulie ligi inapaswa ifke mwisho mwenzi MEI. Hizo habari za afya za wachezaji aachane nazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…