gwifisile fijio nkamu. Kali ukabhile a ka lindwana ka ku Tanga?Ndumyana mololo fijho ujo!
huyo hana nidhamu toka huko afrika kusini alikokuwaKuna sababu zinazopelekea hapa ukali hautakiwi dogo akalishwe chini atafunguka tu
Mawazo ya gongowazi bhana!!!Moyo wake upo Yanga uyo akaribie tu
Wamuachie atafute ugali upande wapili
Yule ni mfalme ana sauti kwenye timu kuliko hata Manara! Kama mzungu hajipendi ajaribu kumgusa! Awe mgonjwa, awe mtoro lazima acheze!Wanamuonea tu yule Mganda huwa anajipa likizo na anapangwa kila mechi
Yule ni mfalme ana sauti kwenye timu kuliko hata Manara! Kama mzungu hajipendi ajaribu kumgusa! Awe mgonjwa, awe mtoro lazima acheze!
Namfahau Mo ( nimecheza nae na pia tulisoma wote o'level) ni moja kati ya wachezaj wenye nidhamu ya hali ya juu... Somethng is wrong here!
Wanamuonea tu yule Mganda huwa anajipa likizo na anapangwa kila mechi