py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
“ MO amekuwa na tabia ya kutokuja mazoezini akiwa na sababu nyingi kila mara jambo ambalo linaathiri kiwango chake na hivyo sitaweza kumtumia. Simba sio timu ya sikukuu ambayo unaamua leo uje kesho usije . Mchezaji mwenye weledi sahihi na kazi yako huwezi kuacha kuyapa kipaumbele mazoezi ya mwalimu wako, masilahi ya timu na kipaji chako” alisema Pierre kwa ukali.