Namfahau Mo ( nimecheza nae na pia tulisoma wote o'level) ni moja kati ya wachezaj wenye nidhamu ya hali ya juu... Somethng is wrong here!
Sio kweli! Mo amefiwa na mtto wake kbla ya kocha mzungu ajafika simba! Alifiwa na mwanae desemba kocha kaja januariAmekuwa akisema sijui mke wake anajifungua mtoto mara mwanaye kafa mara mtoto anaumwa
Uswahili huo na wazungu hawapendi excuses ndogo ndogo
Nimemaliza nae form four mwaka 2010.mwaka gani?
Kwa nini asiwe muwazi? Kweli katika viongozi wote hana hata mmoja ambaye anaweza kumueleza kinachomsibu? Afunguke apate msaada hiyo inamuathiri hata yeye,Namfahau Mo ( nimecheza nae na pia tulisoma wote o'level) ni moja kati ya wachezaj wenye nidhamu ya hali ya juu... Somethng is wrong here!
Mtafute basi umpe ushauri mzuri, sio vizuri kushindana na viongozi wa timu hata kama wao ndio wanamakosa.Nimemaliza nae form four mwaka 2010.