daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Kashusha CV kivipiSijui nani alimshauri kwenda Simba, kashusha CV kwa kiwango cha kutisha!
Kabla ya kuangalia pesa ni vyema kujiridhisha kwanza mazingira ya kazi unayoenda kuifanya.
Huu mbinuko 😎
Hii emoji nimeizoea kisa yangaHuu mbinuko 😎
Na hii mvua kitumbua kimeingia matopeKitumbua kishaingia mchanga...
Akiondoka huyu, hata msimu ujao Kolo watakuwa ni timu ya kujipigia tu...
Kuna mchezaji hana kibali alichezeshwa mechi za kutosha. Sasa hivi wamasema anaumwa.....kuna timu itapigwa na kitu kizito.🐸Mna chenu?
Hilo dirisha lilipofunguliwa alisajili kina Pa Omary JobeSimba ni ya benchika, mpk itakapo chukua ubingwa wa Africa msimu ujao ndo mtakubali, msichokijua ni kuwa benchika amekuja simba kimkakati na asingeweza kuchukua kombe coz simba ilikua mbovu, ngojeni dirisha la usajili lifunguliwe ndo muone.
ukiachana na kibu kama lile bichwa la saidoo linaelewa kitu kweli!!!Baada ya Kuona anafundisha timu yenye wachezaji wenye vichwa vigumu kumuelewa atimaye kocha la makombe limeamua litumie njia mbadala kujiondokea baada ya kudai linaondoka kutokana na matatizo ya KIFAMILIA🤣🤣
Ikumbukwe ni majuzi tu baada ya kutandikwa na yanga alikiri mwenyewe kuwa tokea aanze kudundisha soka ajawai kukutana na timu yenye wachezaji wenye vichwa vigumu kumuelewa Kama wa Simba, Sasa kaamua kuchomoka kiaina kaona CV inaporomoshwa kwa Kasi ya kimondo!
Pa goKuna mchezaji hana kibali alichezeshwa mechi za kutosha. Sasa hivi wamasema anaumwa.....kuna timu itapigwa na kitu kizito.
FIFA wakastukia deal ......... TFF wakaandika barua ya mchongo...😀😀
Mbona unalazimisha mtu abaki kilazima? Mtu kaishaandika barua ya kuomba kuondoka bado unalazimisha kuwa Simba ni ya BenchikhaSimba ni ya benchika, mpk itakapo chukua ubingwa wa Africa msimu ujao ndo mtakubali, msichokijua ni kuwa benchika amekuja simba kimkakati na asingeweza kuchukua kombe coz simba ilikua mbovu, ngojeni dirisha la usajili lifunguliwe ndo muone.
CV yake ime base kwenye mashindano ya confederation cup ambayo Simba wanayananga kuwa mashindano ya losers. Mara ya mwisho kuchukua kombe la ligi kuu ni mwaka 2007.Sijui nani alimshauri kwenda Simba, kashusha CV kwa kiwango cha kutisha!
Kabla ya kuangalia pesa ni vyema kujiridhisha kwanza mazingira ya kazi unayoenda kuifanya.
Kwani ni official news hizo? Utopolo wajinga sana nyieMbona unalazimisha mtu abaki kilazima? Mtu kaishaandika barua ya kuomba kuondoka bado unalazimisha kuwa Simba ni ya Benchikha
Sio kweliSijui nani alimshauri kwenda Simba, kashusha CV kwa kiwango cha kutisha!
Kabla ya kuangalia pesa ni vyema kujiridhisha kwanza mazingira ya kazi unayoenda kuifanya.
Ni official news ndio kwasababu waandishi mbalimbali wameripoti hii taarifa. Kwasasa subiria mechi za ligi kuu ziishe usikie taarifa kwa umma kutoka kwa klabu yako ya Simba.Kwani ni official news hizo? Utopolo wajinga sana nyie
Kocha wa viwango kajishusha sanaSijui nani alimshauri kwenda Simba, kashusha CV kwa kiwango cha kutisha!
Kabla ya kuangalia pesa ni vyema kujiridhisha kwanza mazingira ya kazi unayoenda kuifanya.
Haya endeleeni kujifarijiNi official news ndio kwasababu waandishi mbalimbali wameripoti hii taarifa. Kwasasa subiria mechi za ligi kuu ziishe usikie taarifa kwa umma kutoka kwa klabu yako ya Simba.