Wachezaji wa Simba wanacheza tu bila fomesheni, hawana mipango ya kufunga magoli na hawana uchungu wa kuipigania brand yao. Kuna mechi Aziz Ki alitolewa nje akiwa benchi bado akawa anahamasisha na kufundisha wenzake waliobaki uwanjani. Kageuka kocha msaidizi!
Huyu Benchika ataenda atakuja kocha mwingine wachezaji wasipobadilika lori zima la makocha litaishia msimbazi!
Msimu ujao bado utakuwa wa Yanga kwakuwa Simba itakuwa ikijenga timu, mbumbumbu wanatakiwa kutuliza akili kusajili wachezaji wa matokeo sio majina. Mbangula mmoja tu beki wanne wa kolowizard wameshindwa kumkaba timu nzima uchochoro!!