Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu

Haya endeleeni kujifariji
Tujifariji kwani kafanya kipi cha maana Simba hadi aogopwe? Hata akibaki ni taarifa nzuri kwa Yanga kuendeleza ubabe kwenye ligi kuu na FA. Huyu kocha si ndiye aliyeifanya USMA ishike nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi ya Algeria?
 
Simba ni ya benchika, mpk itakapo chukua ubingwa wa Africa msimu ujao ndo mtakubali, msichokijua ni kuwa benchika amekuja simba kimkakati na asingeweza kuchukua kombe coz simba ilikua mbovu, ngojeni dirisha la usajili lifunguliwe ndo muone.
Simba hii inahitaji kusajili wachezaji saba wenye viwango na kuacha wengine rundo. Msimu ujao haitakuwa na jipya.
 
Hata ningekuwa mimi, ningeomba kuondoka aisee! Timu gani hiyo inaamini tu kwenye ushirikina na pia kuwekeza kwenye mpira wa maneno zaidi, kuliko vitendo!
 
Hivi kibu , Saidoo, Shabalala wanacheza kwa kufata maelekezo ya mwalimu.
 
Tujifariji kwani kafanya kipi cha maana Simba hadi aogopwe? Hata akibaki ni taarifa nzuri kwa Yanga kuendeleza ubabe kwenye ligi kuu na FA. Huyu kocha si ndiye aliyeifanya USMA ishike nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi ya Algeria?
Da mara anaharibu CV mara USMA 😁elimu elimu elimu.
 
Wachezaji wa Simba wanacheza tu bila fomesheni, hawana mipango ya kufunga magoli na hawana uchungu wa kuipigania brand yao. Kuna mechi Aziz Ki alitolewa nje akiwa benchi bado akawa anahamasisha na kufundisha wenzake waliobaki uwanjani. Kageuka kocha msaidizi!

Huyu Benchika ataenda atakuja kocha mwingine wachezaji wasipobadilika lori zima la makocha litaishia msimbazi!

Msimu ujao bado utakuwa wa Yanga kwakuwa Simba itakuwa ikijenga timu, mbumbumbu wanatakiwa kutuliza akili kusajili wachezaji wa matokeo sio majina. Mbangula mmoja tu beki wanne wa kolowizard wameshindwa kumkaba timu nzima uchochoro!!
 
Ukisikia timu inamilikiwa na mmoja wa matajiri wa Afrika unaanzia wapi kukataa?
Ukishaingia mkataba ndiyo unagundua kumbe unatakiwa ku report kwa akina Mangungu, na unapewa wapambe akina Kisugu
Hahaha
 
[emoji23][emoji23]
 
Swali fikirishi je anamaanisha familia ya Simba? Hapa tumieni akili mnembo
 
Hakuna kocha mwenye heshima yake akakubali timu inachezeshwa ndondo kati kati ya ligi
 
Mbona unalazimisha mtu abaki kilazima? Mtu kaishaandika barua ya kuomba kuondoka bado unalazimisha kuwa Simba ni ya Benchikha
Nlimuonea huruma sana siku ya mechi na Ihefu alivyo baki peke yake uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…