Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu

Simba ni ya benchika, mpk itakapo chukua ubingwa wa Africa msimu ujao ndo mtakubali, msichokijua ni kuwa benchika amekuja simba kimkakati na asingeweza kuchukua kombe coz simba ilikua mbovu, ngojeni dirisha la usajili lifunguliwe ndo muone.
Ulikuwa unaandika kama anavyoongea Ahmedy Ally ... "Jobe ni mtu na nusu".
 
Nyie vyura...kocha anatakiwa avumilie ajenge timu sio kuogopa.....
Avumilie maumivu yeye amekuwa Dundukwa?. Timu Ina wachezaji wanakungana nae umri!!.
 
Kaomba mbali sana Kuna mtego mbaya viongozi wa Simba wameingia dhidi ya Azam kesho wanapigwa vibaya mno Kisha kwenye ligi watapigwa tena vibaya mno huu ulikuwa mtego hawakupaswa kujaa kijinga
Mchambuzi toka nanjilinji akichambua bolu
 
Kaomba mbali sana Kuna mtego mbaya viongozi wa Simba wameingia dhidi ya Azam kesho wanapigwa vibaya mno Kisha kwenye ligi watapigwa tena vibaya mno huu ulikuwa mtego hawakupaswa kujaa kijinga
Majibu ya mtego wako yakoje?
 
Sijui nani alimshauri kwenda Simba, kashusha CV kwa kiwango cha kutisha!
Kabla ya kuangalia pesa ni vyema kujiridhisha kwanza mazingira ya kazi unayoenda kuifanya.
Kwani kazi ya mwalimu ni nini?.Kama unaenda kwenye timu ambayo imeshafundishwa na mwalimu mwingine hadi ikawa bora wewe kazi na umuhimu wako utakua ni nini?.Kama ana Cv kubwa hapo simba ndio mahali pake pakuionyesha.Aonyeshe huo uwezo uliomfanya akapata hiyo Cv kubwa.
 
Unaambiwa wachezaji wa 5imba wana Vichwa vigumu mnoo kuelewa maelekezo ya mwalimu
 
kila la kheri kwake kama kweli ataondoka
 
Kumekucha
 

Attachments

  • Screenshot_20240428_120911_X.jpg
    630.7 KB · Views: 4
Asee mbona msimu haujaisha au ndo Mgunda time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…