Kocha wa Simba Fadlu Davids atimka, kikosi kurejea nchini bila Kocha

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kocha mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, ameondoka rasmi ndani ya kikosi hicho baada ya kuripotiwa kutimkia Morocco kujiunga na Raja Casablanca.

Taarifa zinaeleza kuwa Davids, ambaye awali aliwahi kufanya kazi na Raja Athletic Club kama kocha msaidizi, anarejea klabuni hapo safari hii kama kocha mkuu, akichukua nafasi ya Lassaad Chabbi aliyefutwa kazi Jumamosi iliyopita.

Mara baada ya Simba kupata ushindi wa bao 1-0 jana Swptemba 20, 2025 ugenini dhidi ya Gaborone United ya Botswana kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, kikosi cha Simba SC kimeendelea na safari ya kurejea nchini Tanzania bila kocha wao. Inaripotiwa kuwa Davids ameunganisha safari moja kwa moja kuelekea Morocco ili kuanza majukumu mapya na Raja AC.

1758461482469.png
Fadlu anaondoka kikosini hapo ikiwa yeye ndiye aliyehusika na usajili wa wachezaji wapya, ili kuendana na falsafa zake, huku kikosi kikikabiliwa na mechi ya kwanza ya Ligi Kuu ya NBC dhidi ya TRA United SC itakayochezwa Septemba 30, 2025.
 
Kocha mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, ameondoka rasmi ndani ya kikosi hicho baada ya kuripotiwa kutimkia Morocco kujiunga na Raja Casablanca.

Taarifa zinaeleza kuwa Davids, ambaye awali aliwahi kufanya kazi na Raja Athletic Club kama kocha msaidizi, anarejea klabuni hapo safari hii kama kocha mkuu, akichukua nafasi ya Lassaad Chabbi aliyefutwa kazi Jumamosi iliyopita.

Mara baada ya Simba kupata ushindi wa bao 1-0 jana Swptemba 20, 2025 ugenini dhidi ya Gaborone United ya Botswana kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, kikosi cha Simba SC kimeendelea na safari ya kurejea nchini Tanzania bila kocha wao. Inaripotiwa kuwa Davids ameunganisha safari moja kwa moja kuelekea Morocco ili kuanza majukumu mapya na Raja AC.

Hebu tueleze manufaa ya habari za uongo😂

Cc: Mimi Wewe Yule
 
Kama ni kweli tafurahi sana.
 
Simba wakinipa mimi hiyo timu hakika nitahakikisha simba inapigwa mara 15 mfululizo na Yanga.
 
Hahaha huyu ndio kocha wa 5imba aliekuja na kusepa bila kuifunga Yanga
20250916_140547.jpg
 
Kama ni kweli litakuwa ni jambo la kushukuru kwake. Maana gubu la mashabiki, hata ningekuwa ndiyo mimi nisingeweza kuvumilia.
 
Nilisema kuwa kuwa yule siyo kocha bali ni mtu mjanja mjanja tu. Hana mbinu za kufundisha timu bali kuhitaji wachezaji ambao tayari ni wazuri. Wakishakuja kwake hana uwezo wa kufanya wacheze kwenye timu. Simba ya mwaka jana ilikuwa timu nzuri sana ila haikuwa na kocha mzuri. Wasingependelewa na marefa, huenda wangeishia kuwa wa nne au wa tano kwenye ligi kwa sababu ya ubovu wa refa.
 
Back
Top Bottom