Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hebu tueleze manufaa ya habari za uongo😂Kocha mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, ameondoka rasmi ndani ya kikosi hicho baada ya kuripotiwa kutimkia Morocco kujiunga na Raja Casablanca.
Taarifa zinaeleza kuwa Davids, ambaye awali aliwahi kufanya kazi na Raja Athletic Club kama kocha msaidizi, anarejea klabuni hapo safari hii kama kocha mkuu, akichukua nafasi ya Lassaad Chabbi aliyefutwa kazi Jumamosi iliyopita.
Mara baada ya Simba kupata ushindi wa bao 1-0 jana Swptemba 20, 2025 ugenini dhidi ya Gaborone United ya Botswana kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, kikosi cha Simba SC kimeendelea na safari ya kurejea nchini Tanzania bila kocha wao. Inaripotiwa kuwa Davids ameunganisha safari moja kwa moja kuelekea Morocco ili kuanza majukumu mapya na Raja AC.
Kama ni kweli tafurahi sana.Kocha mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, ameondoka rasmi ndani ya kikosi hicho baada ya kuripotiwa kutimkia Morocco kujiunga na Raja Casablanca.