Kocha wa Simba, Joseph Omog ametangaza kuifumua timu hiyo ni baada ya kuchapwa na Prisons

Kocha wa Simba, Joseph Omog ametangaza kuifumua timu hiyo ni baada ya kuchapwa na Prisons

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,588
Reaction score
11,668
Kocha wa Simba, Joseph Omog ametangaza kuifumua timu hiyo ni baada ya kuchapwa na Prisons, kuanza na mabeki na kipa

Cw4bZJmWQAI8F5x.jpg
 
Mbona timu haipo vibaya kiivoo
Naweza ungana nae labda golini na forward msumbufu hana

Naungana na wewe, Simba wana timu nzuri sana, wanahitaji goalkeeper, huyu nadhani zamani alikuwa mchezaji wa ndani. Jamaa mipira ya cross hawezi kabisa kuicheza na ndio magoli yanapotokea.

Pia hana forward ambaye anaweza kusumbua ngome pinzani, Mavugo ni mwepesi mno. Pia nadhani partnership ya Mwanjali na Murshid inaifanya ngome kuwa strong zaidi kuliko Mwanjali na Lufungo.

Kwa golikipa bado nadhani Mwanyika ni bora zaidi kuliko Vincent. Sijajua kijana kawakosea nini mpaka wanamtesa kwenye benchi kiasi hicho.
 
Mwanjale na murshid wanaelewana sana lkn majanga ni kuwa murshid yuko national team kurudi mpk February

Nahisi ni mda muafaka wa kuchezesha manyika golini otherwise asajili kipya huyu agban .....kimeo atawanyima kombe asubuhii kweupeeee
 
Kocha wa Simba, Joseph Omog ametangaza kuifumua timu hiyo ni baada ya kuchapwa na Prisons, kuanza na mabeki na kipa

View attachment 431955
Simba Simba Simba! hilo ndiyo tatizo lenu[kubwa]. Timu bado inaongoza halafu mnaanza timbili hizi ambazo zinawaathiri sana wachezaji na hivyo uwezekano wa kuharibu kutokana na pressure hizo ni kubwa sana.
Hadi sasa timu hiyo bado inaongoza na sioni tatizo hadi sasa. Kwa taarifa zenu ni kwamba kuongoza kwenye ligi kuna pressure kubwa kuliko mnavyofikiria. Kila mechi mnakamia kushinda mpaka inafika mahala mmoja anapokosea mnaanza kufikiria hujuma na mwisho wa siku morali inapungua na hivyo kushindwa kuhimili vipigo.
Ushauri, kwa sasa tulieni na msitafute mchawi. roundi ya kwanza imekwisha na hivyo ni nafasi nzuri ya kufanya performance analysis ili kuweza kuziba mashimo yaliyopo. Lakini mkikosea na kuanza kutuhumu wachezaji au kocha mjue ubingwa mtausikia redioni.
 
Litimu lenyewe la hovyo tu,alifanye vyovyote atakavyo,iwe analifumua au analibomoa ila wajue nafasi ya 3 inawahusu wakijitahidi basi watakuwa wa 2.
 
Mikia washaanza kuvurugana, na hii ligi ingekuwa inaendelea bila kusimama kwa muda wasingeamini.

Bad enough mechi za round ya 2 nyingi ni away.
 
Hii timu kila siku inafumuliwa tu

Bikra akishatunguliwa huwa anaangaika sana
 
Bukungu ni mchezaji beki was kati sijui kwanini anamng'ang'anizwa kucheza pembeni tatizo jingine ni kipa anaeruhusu magoli rahisi mno
 
Litimu lenyewe la hovyo tu,alifanye vyovyote atakavyo,iwe analifumua au analibomoa ila wajue nafasi ya 3 inawahusu wakijitahidi basi watakuwa wa 2.
La hovyo Kama wewe ulivo wa hovyo kite wewe
 
Back
Top Bottom