Kocha wa Simba kupewa mechi 4.

Kocha wa Simba kupewa mechi 4.

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Kuna habari kuwa Omong kapewa mechi 4 ambazo kama akiboronga anatimuliwa.Hivi tujiulize,kama ni kweli basi watakua hawamtendei haki.Ndio wametumia hela nyingi sana kusajili karibu timu nzima,ila wengi viongozi ndo walosajili bila kumhusisha sasa kwa nini jumba bovu limuangukie yeye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka lini Simba akasajili kocha?
Ni Makofia na Kaburu wanaoamua nani asajiliwe. Wana taaluma kubwa ya mpira
 
Kwanza NNE ni nyingi,angetolewa kabisa.Msimu uliopita Simba ilikuwa vizuri tu ila ushindi wake no goli 1-0 au 2-1,safe au kufungwa.anaamini zaidi katika kulinda Sana Na hashambulii Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom