eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Hata mimi nimesikia kwenye heading za magazeti asubuhi nikashangaa sana! Hizi timu yetu ya Simba ina matatizo sana ya kufukuza Makocha.Weka source ya hiyo habari, wewe mjukuu wa Mzee Akilimali...
Kocha ambae hatoi matokeo lazima afukuzweHata mimi nimesikia kwenye heading za magazeti asubuhi nikashangaa sana! Hizi timu yetu ya Simba ina matatizo sana ya kufukuza Makocha.
Usiwe unaropoka kama umekunywa dadiiToka lini Simba akasajili kocha?
Ni Makofia na Kaburu wanaoamua nani asajiliwe. Wana taaluma kubwa ya mpira
Tatizo ni billion 1.3 za Zimbabwe enzi zakeKikosi cha Bilioni 1.3 champonza kocha