Kocha wa Simba Roberto asepe

Kaka

Ubahili wa Mwamedi Ndio chanzo Cha yote haya.

Simba Ina wachezaji WATANO TU.
Inonga, Chama, Saido, Manula, kapombe na shabalala .

SIMBA INA WACHEZAJI MIZIGO WENGI MNO.
Kanute, Banda, Ottara, Okwa, Onyango Umri, Sawadogo, Baleke.

Imagine una kiungo MZAMIRU na kanute.
Yanga Ina kiungo
BANGALA NA AUCHO.

MO ANAIHUJUMU SANA SIMBA.
KOCHA ASIGUSWE KABISA
 
Huyu Kocha mzuri sana, tunasubiria mechi na Utopolo kama ataendelea kuwepo baada ya mechi!
 
Sure chama anacheza vizuri zaidi alkiwa nyuma ya straika, sasa ivi chama yuko anacheza winga matokeo yake mpira unapoa kinoma, na sijui kwa nini okra hachezi huyu ndo winga aambaye anatakiwa apokee pasi kutoka kwa chama na kanoute.

kwa ufupi simba imepoa sana wachezaji nakubali wapo ila mfumo wa kocha ni mbovu hat akama itaingia robo fainali haifiki mbali.
 
Nipe statistics za mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…