triga
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,029
- 5,710
Haha kama ulikuwepo vile namuona kibu ndani ya 1st X1. Sema sio mbaya ila namuona na kagere pia sasa sijui ndio anacheza na double striker (kibu+kagere) au ndio kibu anasimam nyuma striker (kagere).Ni sahihi ila ila huyu kocha anamahaba ya juu sana na kibu Kwaiyo kesho usitegemee kumuona banda hapo
Tusubiri tuone lkn
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app