Kocha wa Taifa Stars afungishwa virago

Kocha wa Taifa Stars afungishwa virago

Mm sioni ubaya wa huyo kocha athari za timu ya taifa kufanya vibaya ni ndogo sana ukilinganisha na athari za serikali ya za majiji ya Dsm.

Kama kweli tuna uchungu na nchi hii na tunahitaji maendeleo ya kweli tungeanza kumuondoa meya wa Dsm Masaburi tukaendelea kuwaondoa mameya wa Ilala Temeke na kinondoni. Na hata viongozi waajiriwa wa majiji hayo.

Uchafu wa kocha wa timu ya taifa ni mdogo sana kuliko watu hao nilio wataja.
Jiji la Dsm limekuwa kama danguro halieleweki halina mpangilio halina usimamizi wala taratibu nahisi sina kauli nzuri yakulielezea zsidi ya kusema viongozi wa majiji yote ya Dsm ni wabovu na hawako kwa ajili ya watu Dsm.

Laiti pangekuwa na vipindi vya radio na tv na kurasa za magazeti zinazo zungumzia utendaji wa majiji ya Dsm kama za michezo basi wengi wetu wangejua kama mpira sio tatizo kama jiji lilivyo.

Lakini kwakuwa mpira una vipindi ktk radio na tv na unakurasa ktk magazeti ndio tunaona tunavyo boronga.
Shida za uchafu shida za foleni za magari shida za kusimamia sheria za majiji shida za kila aina lakini mameya hawazioni mpaka shida za vituo vya dalala nazo hawazioni.

Mm sioni hata kwa nini tunakuwa na mameya.
 
We ave talented young players and we still be best losers,
Better if he get sack...tunataka improvments,sio kila siku roho juu juu tu
 
Kwann tusisimamishe timu ya taifa miaka mitano tuisuke kwa under 17 kisha turejee?
 
mbona wamechelewa sana! na uongozi wa TFF ufukuzwe kazi maana blaa blaa nyingi
 
Hata akifukuzwa Kocha lkn bado ugonjwa uko pale pale! Tatizo ni uongozi hadi mfumo wa mpira ni shidaa
 
Kuanzia uongozi wa mpira ni mmbovu hadi wachezaji wenyewe.
Waanze kutumia makocha wakawa na wawe wanapita sana mtaani na mashuleni kuibua vipaji, waje kwenye Mechi za ndo ndo pia waone watu.
 
Back
Top Bottom