kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Huyu kocha mpya wa Taifa stars alimuona wapi Fei Toto akicheza mpira hadi amuite timu ya Taifa na kumpa nafasi ya kucheza mechi ya ushindani kama Ile?
Kapombe na Shabalala waliongezwa kwenye kikosi na nani kwasababu zipi? Kikosi kilichocheza kule Misri kilikuwa na madhaifu gani yaliyowahitaji Mohamed Hussein and Kapombe kuyaziba?
Mpira wetu una safari ndefu sana.