Kaka Zimbwe Jr na kapombe ni wachezaji wazuri hapa tz tunawajua, niambie wewe ni kwanini waliachwa safari ya misri na kwanini wameongezwa kwenye mechi ya DSM. Hata ukimuuliza Manula atakwambia ni beki ipi ilikuwa Bora kwake kati ya Ile ya misri na hii ya DSM.