Kocha wa Taifa Stars, Etienne Ndayiragije afungashiwa virago vyake

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Rasmi: Kwaheri Etienne!

Shirikisho la soka Tanzania (TFF) na kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mrundi Etienne Ndayiragije, baada ya kikao cha pamoja, wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba kwa kuzingatia maslahi ya pande zote mbili.

Shukrani Ndayiragije kwa mchango wako mkubwa katika maendeleo ya soka la Tanzania.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha wa timu ya Taifa “Taifa Stars” Etienne Ndayiragije.

Wamefikia maamuzi hayo baada ya makubaliano yaliyofikiwa baada ya kikao cha pande zote mbili.

Mrundi huyo ambaye kabla ya kuwa kocha Taifa stars alihudumu katika vilabu kadhaa nchini kama vile Mbao fc, KMC na Azam fc .

Mnamo mwezi October, 2019 rasmi alipewa kikosi cha Taifa stars akiwa bado ni kocha wa Azam Fc.Na baadaye akaachana na Azam FC kuwa Kocha wa Stars tu.

Mafanikio ya Ndayiragije akiwa Stars ni pamoja na kufuzu CHAN 2020, pamoja na kufuzu makundi ya kufuzu kucheza Kombe la Dunia kwa Afrika.
 
20210211_132434.jpg

Sijui kama nimlaumu kocha ama wachezaji katika Mechi na Guinea nilitamani niingie uwanjani niwachape bakora, yaani wao kupiga mbele tu yaani ubunifu SIFURI kabisa. Hata mbinu za mchezo wote hakuna watu wazima wanaendeshwa na wale vijana wadogo tu. Hata Manura anaona wanashambuliwa kama nyuki anapata bahati ya kudaka mpira, badala ya kuwapanga wenzie anachukua mpira anapiga mbele tu, na unachukuliwa na adui.
 
Nchi ya kipumbavu sana hii....aliyeamuru wasichukuliwe wachezaji wa Simba na Yanga anajulikana. watu wanajifanya kufukuza kocha...huu unafiki hadi lini nchi hii? kwanza kajitahidi kupata point nne huko CHAN.
 
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha wa timu ya Taifa “Taifa Stars” Etienne Ndayiragije.

Wamefikia maamuzi hayo baada ya makubaliano yaliyofikiwa baada ya kikao cha pande zote mbili.

Mrundi huyo ambaye kabla ya kuwa kocha Taifa stars alihudumu katika vilabu kadhaa nchini kama vile Mbao fc, KMC na Azam fc .

Mnamo mwezi October, 2019 rasmi alipewa kikosi cha Taifa stars akiwa bado ni kocha wa Azam Fc.Na baadaye akaachana na Azam FC kuwa Kocha wa Stars tu.

Mafanikio ya Ndayiragije akiwa Stars ni pamoja na kufuzu CHAN 2020, pamoja na kufuzu makundi ya kufuzu kucheza Kombe la Dunia kwa Afrika.
Ameshapandisha cv yake
 
Sijui kama nimlaumu kocha ama wachezaji katika Mechi na Guinea nilitamani niingie uwanjani niwachape bakora, yaani wao kupiga mbele tu yaani ubunifu SIFURI kabisa. Hata mbinu za mchezo wote hakuna watu wazima wanaendeshwa na wale vijana wadogo tu. Hata Manura anaona wanashambuliwa kama nyuki anapata bahati ya kudaka mpira, badala ya kuwapanga wenzie anachukua mpira anapiga mbele tu, na unachukuliwa na adui.
Mkuu, unakosea mno. Wachezaji walijituma sana kwa heshima ya nchi, kilichokuwa kinakosekana ni ujuzi wa benchi la ufundi.
 
Rasmi: Kwaheri Etienne!

Shirikisho la soka Tanzania (TFF) na kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mrundi Etienne Ndayiragije, baada ya kikao cha pamoja, wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba kwa kuzingatia maslahi ya pande zote mbili.

Shukrani Ndayiragije kwa mchango wako mkubwa katika maendeleo ya soka la Tanzania.
Walichelewa mno, kwanza hakustahili kuwa kocha wa timu ya Taifa hasa ya kwetu.
 
Mkuu, unakosea mno. Wachezaji walijituma sana kwa heshima ya nchi, kilichokuwa kinakosekana ni ujuzi wa benchi la ufundi.
Ndiyo maana nikasema sijui. Kwani hata kwenye TV hawaangalii. Yaani nilikasirika sana siku hiyo. Tulipata magoli ya kingekewa lakini tulishindwa kujiongeza kidogo tu
 
Nchi ya kipumbavu sana hii....aliyeamuru wasichukuliwe wachezaji wa Simba na Yanga anajulikana...watu wanajifanya kufukuza kocha...huu unafiki hadi lini nchi hii? kwanza kajitahidi kupata point nne huko CHAN.
Naunga mkono hoja. Yule mzee amechangia pakubwa tu kwa timu yetu kufanya vibaya. Alitoa kauli ya kukurupuka sana! Na kwa bahati mbaya TFF yenyenyewe inaongozwa na kibaraka wake, hivyo ikawa rahisi tu kumuingilia mwalimu majukumu yake.

All in all, Ettiene Ndairagije hakuwa na sifa ya kuwa mwalimu wa timu ya Taifa kama Tanzania. Isipokuwa ni mwalimu mzuri kwa ngazi ya vilabu, hasa vile vidogo (Mbao fc na Kmc alifanya vizuri sana. Kabla ya kuchukuliwa na Azam, na baadae wazee wa kupenda Kitonga kumchukua)
 
SOURCE OF INFORMATION NI IPI? MAANA JANA NILISIKIA MSEMAJI WA TFF ANAKANUSHA/HAKUBALIANI NA HIYO HABARI
 
Walichelewa mno, kwanza hakustahili kuwa kocha wa timu ya Taifa hasa ya kwetu.
Kwa wachezaji gani ulionao?!!hao wakina MAJOGORA?!!tuache unafiki miaka nenda rudi, kwa style hii ya kutegemea miujiza badala ya kuwekeza kwenye mpira, ?!!hata muwakusanye makocha wote wa ulaya, waje wafundishe timu hii, hakuna cha maana kitakachotokea!!toka alipofukuzwa Amunike, kuna nini, kimeshafanyika hadi mtegemee miujiza?!!
 
Nchi ya kipumbavu sana hii....aliyeamuru wasichukuliwe wachezaji wa Simba na Yanga anajulikana...watu wanajifanya kufukuza kocha...huu unafiki hadi lini nchi hii? kwanza kajitahidi kupata point nne huko CHAN.
Sijui kama nimlaumu kocha ama wachezaji katika Mechi na Guinea nilitamani niingie uwanjani niwachape bakora, yaani wao kupiga mbele tu yaani ubunifu SIFURI kabisa. Hata mbinu za mchezo wote hakuna watu wazima wanaendeshwa na wale vijana wadogo tu. Hata Manura anaona wanashambuliwa kama nyuki anapata bahati ya kudaka mpira, badala ya kuwapanga wenzie anachukua mpira anapiga mbele tu, na unachukuliwa na adui.
Ninamsifu kocha, wabongo wana roho ya kuku
Waoga
Waoga
Waoga
Hawajiamini
 
Nchi ya kipumbavu sana hii....aliyeamuru wasichukuliwe wachezaji wa Simba na Yanga anajulikana...watu wanajifanya kufukuza kocha...huu unafiki hadi lini nchi hii? kwanza kajitahidi kupata point nne huko CHAN.
Kwani hawakuchukuliwa?
 
Back
Top Bottom