TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
Rasmi: Kwaheri Etienne!
Shirikisho la soka Tanzania (TFF) na kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mrundi Etienne Ndayiragije, baada ya kikao cha pamoja, wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba kwa kuzingatia maslahi ya pande zote mbili.
Shukrani Ndayiragije kwa mchango wako mkubwa katika maendeleo ya soka la Tanzania.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha wa timu ya Taifa “Taifa Stars” Etienne Ndayiragije.
Wamefikia maamuzi hayo baada ya makubaliano yaliyofikiwa baada ya kikao cha pande zote mbili.
Mrundi huyo ambaye kabla ya kuwa kocha Taifa stars alihudumu katika vilabu kadhaa nchini kama vile Mbao fc, KMC na Azam fc .
Mnamo mwezi October, 2019 rasmi alipewa kikosi cha Taifa stars akiwa bado ni kocha wa Azam Fc.Na baadaye akaachana na Azam FC kuwa Kocha wa Stars tu.
Mafanikio ya Ndayiragije akiwa Stars ni pamoja na kufuzu CHAN 2020, pamoja na kufuzu makundi ya kufuzu kucheza Kombe la Dunia kwa Afrika.