Kocha wa taifa stars kachongewa CAF na nani?

Kocha wa taifa stars kachongewa CAF na nani?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kocha wa timu ya Taifa stars amesimamishwa na CAF kusimamia mechi 8 za timu yake.

Swali ni nani alikasirishwa zaidi na maneno ya kocha dhidi ya Timu ya Morocco kati ya TFF, Morocco na CAF? ni nani alilalamika? Maana Kuna siku Yanga pekee TU ilipewa adhabu na CAF kwa makosa ya kumulika vItochi uwanjani wakati zote zinafanya hivyo bila kupewa adhabu hiyo.

View: https://youtu.be/UWY6qBOfxoQ?si=ozSFhYqfkICwt_ya
 
Kipindi kile Nabi anaondoka Yanga, ndio TFF wangemnyakua palepale awe kocha wa timu ya taifa... Si inawezekana..??
 
Back
Top Bottom