Bado wa MajimajiKocha mkuu wa timu ya Toto African Logacian Kaijage, ametangaza kuachana na timu hiyo kwa kile alichokisema kuwepo kwa sababu za ndani ya timu zinazomsukuma kuachana na timu hiyo.
Kaijage akiongea na mtangazaji wa TBC One amesema
“Unajua mimi ni mwalimu mzoefu na timu inawachezaji wazuri japo siyo wazoefu kuna vitu ambavyo vipo ndani ya timu ambavyo siwezi kukwambia mtangazi kwaiyo naona hata nikisema niendelee kubaki patakuwa ivyo ivyo tu ambavyo kwangu vitakuwa ni vikwazo katika kufanya kazi yangu ya ukocha” Alisema Kaijege
Za chini ya kapeti zinasema kumbe Julio alipewa match3,alianza ya Yanga akafungwa then ile ya juzi na Mbeya City kwa hiyo imebaki moja akausoma mchezo akaamua ajipunguze yeye mwenyewe kuliko kufungishwa virago.Ndani ya wiki moja makocha wawili wa ligi kuu wameachia ngazi!
Wa MajiMaji hawezi kuondoka uongozi ndio unamlazimisha kubaki maana akiondoka hawatapata kocha tena.Bado wa Majimaji
Aisee, nasikia hata kocha msaidizi wa Stand United katimuliwa baada ya kugundulika alitaka kuuza mechi kwa Maji Maji fc.
LipuliNgoja tuone ataenda timu gani baada ya Mwadui..