Kocha wa Toto African Logacian Kaijage ametangaza kuachana na timu hiyo

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Kocha mkuu wa timu ya Toto African Logacian Kaijage, ametangaza kuachana na timu hiyo kwa kile alichokisema kuwepo kwa sababu za ndani ya timu zinazomsukuma kuachana na timu hiyo.

Kaijage akiongea na mtangazaji wa TBC One amesema

“Unajua mimi ni mwalimu mzoefu na timu inawachezaji wazuri japo siyo wazoefu kuna vitu ambavyo vipo ndani ya timu ambavyo siwezi kukwambia mtangazi kwaiyo naona hata nikisema niendelee kubaki patakuwa ivyo ivyo tu ambavyo kwangu vitakuwa ni vikwazo katika kufanya kazi yangu ya ukocha” Alisema Kaijege
 
Bado wa Majimaji
 
Ndani ya wiki moja makocha wawili wa ligi kuu wameachia ngazi!
Za chini ya kapeti zinasema kumbe Julio alipewa match3,alianza ya Yanga akafungwa then ile ya juzi na Mbeya City kwa hiyo imebaki moja akausoma mchezo akaamua ajipunguze yeye mwenyewe kuliko kufungishwa virago.
 
Aisee, nasikia hata kocha msaidizi wa Stand United katimuliwa baada ya kugundulika alitaka kuuza mechi kwa Maji Maji fc.

Ndio hivyo,kwa hiyo Julio alipotoa sababu za ubovu na upendeleo wa marefa hakuwa mkweli bali alitumia tuu kipaji na ujanja wake wa maneno mengi mdomoni.
 
Back
Top Bottom