Kocha wa TWIGA stars adaiwa kugoma kuongea na Waandishi wa Habari

ismail hassan

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
696
Reaction score
1,629
Kitendo cha kocha kumjibu mwandishi wa habari kuwa hata kama yuko live hawezi kuongea amuache, nadhani hili sio sawa, kwa walotazama taarifa ya habari TBC nadhani watakuwa wameona situation nzima.

Waandishi wa habari wanaweza kukuinua na hao hao wanao uwezo wa kukushusha pia.

Baada ya mechi kuisha either imepata ushindi au imeshindwa, kocha mara nyingi tunataka kusikia tamko kutoka kwa kocha.

Tukishaanza kupiga hatua tu tuna kajitabia kakupandisha mabega.

Hongereni Twiga stars kwa ushindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MEDIA za Tanzania mna njama kuififisha Twiga Stars, coverage ya mechi walizocheza COSAFA hakuna, bora hapa media ya Jamiiforums wametupia clips za video kibao za Twiga Stars toka mechi za makundi hadi mechi ya fainali ya Malawi Vs Tanzania Cosafa Women's Championship 2021 mjini Mandela Bay KwaZulu Natal Republic of South Africa.

Huu 'uzalendo' TBC, Azam, Global TV Online n.k wa kuvizia airport timu ikirudi ndiyo kujidai kufanya interview unatoka wapi?

09 October 2021
Nelson Mandels Bay stadium
Port Elizabeth,
Republic of South Africa

Watch the COSAFA women's final 2021
Tanzania 1 - 0 Malawi

Bakari Shime in interview with Cosafa TV , praised his Twiga Stars players
 
9 October 2021

Tanzania wins the 2021 COSAFA Women's Cup title by beating Malawi 1-0 in the final of the competition.

Source : Zambian soccer updates

Hawa ndiyo wawakilishi wetu Kimataifa, wanafanya vizuri na kulitangaza jina na kupeperusha bendera yetu ngazi za juu kimataifa.

Michezo ni sehemu ya diplomasia ya kuitangaza nchi ulimwenguni iwe Olympics CECAFA COSAFA CAF FIFA , WORLD CHAMPIONSHIP n.k na Michezo ni kutangaza utalii, nafasi za ajira ya mchezaji wa kulipwa, Michezo ni afya na michezo ni siasa.

Hongera timu ya Twiga Stars .
 
Reactions: BAK
07 October 2021

Tanzania W Vs Zambia W (1 - 1) –Penalty (3-2) -Highlights & Goals –2021 COSAFA Women's Championship



Matokeo ya mchezo wa nusu Fainali michuano ya COSAFA.Tanzania W Vs Zambia W (1 - 1) –Penalty (3 - 2) (Lushomo Mweemba og 17' | Grace Chanda 70') Tanzania wins 3-2 on postmatch penalties to progress to the final. Margaret Belemu, Lushomo Mweemba, and Ochumba Oseke Lubanji missed their spot-kicks.

Tanzania edged Zambia 3-2 on penalties in a pulsating first semifinal that finished 1-1 after 90 minutes. The East African guest had the better of the first half and was rewarded with the opening goal as Zambia defender Lushomo Mweemba put the ball into her own net.

But the Copper Queens came more into the game in the second half and were level with just over 20 minutes to go when captain Grace Chanda netted her third goal of the competition.

That took the match to penalties, but it was Tanzania who held their nerve as goalkeeper Janeth Simba produced a number of excellent saves in the shoot-out
 
Geza Ulole wa JamiiForums naye hakuwa nyuma kuleta habari nzuri za Twiga Stars

Tanzania’s regional win evidence of growing depth in Africa​

10 Oct 2021
  • Tanzania caused an upset in the 2021 COSAFA Women’s Championship
  • Favourites South Africa and Zambia forced to settle for semi-final berths
  • African qualifiers for Australia & New Zealand 2023 due to get underway
Tanzania are the latest nation to demonstrate that the talent pool in African women’s football is growing at an exponential rate. The Twiga Stars proved that upcoming African zone FIFA Women’s World Cup™ qualifiers will be a mouth-watering prospect by upsetting the odds to win the 2021 COSAFA Women’s Championship at the weekend.
As hosts, seven-time champions South Africa started as favourites in the eyes of many, followed by Zambia on the back of their recent breakthrough showing at the Women’s Olympic Football Tournament in Japan.
Instead a guest stole the show at the regional championship for nations in the bottom quarter of the Mother Continent. East African nation Tanzania, along with fellow guests South Sudan and Uganda, helped make up the 12-nation roster for the 22-match tournament played in Port Elizabeth over 12 whirlwind days.
Tanzania, Zambia and South Africa won the three respective groups, with Malawi edging Zimbabwe to join the trio in the semi-finals as the best runner-up. Despite missing their goalscoring powerhouse from Tokyo 2020, Barbra Banda, Zambia again displayed their free-scoring style with nine unanswered goals in the group stage.
Zambia, though, could find no way past Tanzania in the last-four match-up with the Twiga Stars triumphing on penalties.
Malawi made yet more history in the other semi-final with Sabinah Thom’s double earning a 3-2 victory over holders South Africa for a maiden ticket to the final. Conversely, it was the first time that the record holders have failed to make the championship decider.


A lone second-half strike from Enekia Lunyamila proved enough for Tanzania to edge out Malawi for the title on Saturday. Tanzania’s captain Amina Bilali was named player of the tournament for her performances in midfield.
A penalty shoot-out win saw Zambia claim their fourth bronze medal to go with the silver they picked up in 2019. The was some consolation for South Africa with forward Sibulele Holweni (five goals) top goal-scorer for the second year running following on from her eight goal haul in 2020.
“We’ll make sure that we are in good shape,” said South Africa coach Desiree Ellis said after the tournament’s finale referencing the fast-looming continental qualifying campaign for Australia & New Zealand 2023.
Two rounds of home and away knockout ties will commence later this month, with the top four nations at next year’s 12-team CAF Women’s Africa Cup of Nations to win through to the world stage.

Source : Tanzania’s regional win evidence of growing depth in Africa
 
Kitendo cha kocha kumjibu mwandishi wa habari kuwa hata kama yuko live hawezi kuongea amuache, nadhani hili sio sawa, kwa walotazama taarifa ya habari TBC nadhani watakuwa wameona situation nzima...
Hakuna binaadamu anaweza kumuinua mtu au kumshusha acha kuwakweza hao makanjanja ingawa kitendo alichofanya kocha ni ukanjanja zaidi
 
7 October 2021

Ahadi ya kocha Bakari Shime kabla ya kuelekea Port Elizabeth South Africa ya kurudi na kikombe cha michuano ya COSAFA 2021 kwa wanawake. Pia timu ya wanawake inajitayarisha kwa michuano ya Afrika kwa wanawake AW(F)CON League ya wanawake baada ya michuano ya COSAFA 2021 kwa wanawake.

 
11 October 2021
JNIA Dar es Salaam
Tanzania

Mabingwa wa michuano ya COSAFA 2021 wawasili Dsm

Kikosi cha timu ya Taifa kwa wanawake - Twiga Stars Mabingwa wa michuano ya COSAFA 2021 kwa wanawake wakiwasili na Kombe uwanja wa Julius Nyerere Intl Airport


Source : Mpenja TV
 
11 October 2021
Dar es Salaam, Tanzania

Kocha Bakari Shime macho yetu TWIGA STARS sasa ni michuano mikubwa inayofuatia ya Afrika ya AWCON na World Cup

Twiga Stars sasa kujifua kwa mazoezi makali ya soka la kisayansi baada ya michuano ya CECAFA na COSAFA kumalizika.
Source : Mpenja TV
 
Kitendo cha kocha kumjibu mwandishi wa habari kuwa hata kama yuko live hawezi kuongea amuache, nadhani hili sio sawa, kwa walotazama taarifa ya habari TBC nadhani watakuwa wameona situation nzima...
Video iko wapi?
 
Kitendo cha kocha kumjibu mwandishi wa habari kuwa hata kama yuko live hawezi kuongea amuache, nadhani hili sio sawa, kwa walotazama taarifa ya habari TBC nadhani watakuwa wameona situation nzima...
Sasa kweli huyo mtangazaji ndio mwenye kosa, mtu anamuona yupo uwanja wa ndege anakusanya mizigo yake, (yuko busy)aache ili ahojiwe?
 
MEDIA za Tanzania mna njama kuififisha Twiga Stars, coverage ya mechi walizocheza COSAFA hakuna, bora hapa media ya Jamiiforums wametupia clips...
I strongly agree with you. Wanafiki wakubwa.
 
Kitendo cha kocha kumjibu mwandishi wa habari kuwa hata kama yuko live hawezi kuongea amuache, nadhani hili sio sawa, kwa walotazama taarifa ya habari TBC nadhani watakuwa wameona situation nzima...
Ni hekima kukaa kimya ukiwa kwenye furaha kuliko kuongea
 
Kitendo cha kocha kumjibu mwandishi wa habari kuwa hata kama yuko live hawezi kuongea amuache, nadhani hili sio sawa, kwa walotazama taarifa ya habari TBC nadhani watakuwa wameona situation nzima..
Waandishi wa habari wa Tanzania hawawezi Kukupandisha au Kukushusha.
 
Kama maswali yenyewe ni "ety watanzania wanasema hujitumi kwenye timu ya taifa" bora akatae tu na ningekua karbu ningemshauri amkate makofi huyo mwandishi.

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…