Kocha wa TWIGA stars adaiwa kugoma kuongea na Waandishi wa Habari

Kocha wa TWIGA stars adaiwa kugoma kuongea na Waandishi wa Habari

mtoa uzi umeandika pumba kabisa.. yaani mwandishi wa habari anaweza kumpaisha na kumshusha kocha mwenye taaluma yake?
 
Kitendo cha kocha kumjibu mwandishi wa habari kuwa hata kama yuko live hawezi kuongea amuache, nadhani hili sio sawa, kwa walotazama taarifa ya habari TBC nadhani watakuwa wameona situation nzima.

Waandishi wa habari wanaweza kukuinua na hao hao wanao uwezo wa kukushusha pia.

Baada ya mechi kuisha either imepata ushindi au imeshindwa, kocha mara nyingi tunataka kusikia tamko kutoka kwa kocha.

Tukishaanza kupiga hatua tu tuna kajitabia kakupandisha mabega.

Hongereni Twiga stars kwa ushindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliiona ile,alikuwa kama ana jazba flani hivi,nadhani itakuwa kuna mtu alimvuruga akili kabla ya tukio lile...
 
MEDIA za Tanzania mna njama kuififisha Twiga Stars, coverage ya mechi walizocheza COSAFA hakuna, bora hapa media ya Jamiiforums wametupia clips za video kibao za Twiga Stars toka mechi za makundi hadi mechi ya fainali ya Malawi Vs Tanzania Cosafa Women's Championship 2021 mjini Mandela Bay KwaZulu Natal Republic of South Africa.

Huu 'uzalendo' TBC, Azam, Global TV Online n.k wa kuvizia airport timu ikirudi ndiyo kujidai kufanya interview unatoka wapi?

09 October 2021
Nelson Mandels Bay stadium
Port Elizabeth,
Republic of South Africa

Watch the COSAFA women's final 2021
Tanzania 1 - 0 Malawi

Bakari Shime in interview with Cosafa TV , praised his Twiga Stars players
Exactly Mkuu!
 
Back
Top Bottom