Kocha wa Yanga afungiwa kuiongoza timu yake katika mechi tatu. Mwamuzi aliyekataa goli la Ruvu Shooting afungiwa miezi mitatu

Kumfungia mwinyi zahera yaani ndiyo mafanikio ya Karia? Kwa mambo aliyozungumza sijaona kosa lake labda kama kusoma ukweli nimwiko Tz
 
Nikweli maana hata club bingwa mlisema mtafika nusu fainali
 
Hivi Zahera hakuulizwa kuhusu goli la Ruvu lililokataliwa?
 
Haya naona bado una hangover za UD Songo
 
Wakina kim Paulsen mbona walikua wanavaa vibukta tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…