safetymaster
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 226
- 285
Kuna watu wanatetea ujinga na upuuzi! Sheria ni kwa wote! Fuata sheria uone kama utayumbishwa na mtu. Mtu hana staha wala adabu kwa mamlaka husika unamteteaje? Mwaka Jana huyu mtu kaichafua nchi ndani na nje,afu kuna majuha yanaona sawaa tu!