Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii hapa ndio kauli yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha umbea.
Wewe umesikia wapi bloangu sisi tumemsikia Gamondi mwenyewe kasema kwa kauli yake kabithaaaaaAcha umbea.
...........Nasikia kocha wenu mpya na yule mchezaji wenu Mrundi walizaliwa mwaka mmoja.
akijibu nistueWewe umesikia wapi bloangu sisi tumemsikia Gamondi mwenyewe kasema kwa kauli yake kabithaaaaa
Mara eti zengeli dayLile ni litimu la limejaa ushamba na ulimbukeni mwingi sana.
Eti Bacca day na kuvaa misuli, mara mabango barabarani ilhali wao walishakandwa na Simba 5 - 0 na bado Simba haikufanya huo upuuzi wanaoufanya wao.
Aziz Ki day wote walionyesha mapaja yaliyopakwa mafuta. Naisubiri Kabwili Day watavaa shanga za rangi ya njano na kijani viunoni na MamaJ Day watavaa madera bila chupi.Mara eti zengeli day
Eti wanachomekea wote hadi mijitu mizima inajitoa fahamu.
Hawa ni walugaluga kweli mkuu.
Kocha anamwamkia mrundi.Acha umbea.
...........Nasikia kocha wenu mpya na yule mchezaji wenu Mrundi walizaliwa mwaka mmoja.