Kocha wa Yanga analazimishwa kumpanga Dube?

Kwenye mechi zote 3 zilizopota kuanzia ya Mazembe kwa mkapa, Al Hilal ugenini na Leo dhidi ya Algers, Dube kaonyesha kuwa na uwezo mdogo sana,

Kocha ana malengo yapi na huyu mchezaji ?
Nafasi ya dube wewe ungempanga nani?
 
Nikikumbuka gongowazi walivyoshangilia wakati ratiba ya Champions League inapangwa.Kundi lao walipopangiwa Al Hilal, MC Alger na Mazembe wakaanza kurukaruka wakiongozwa na Ali Kamwe.Maskini hawakujua mpira hauchezwi midomoni.
 
Halafu utopolo mkamloga mayele akiwa misri hadi akalalamika..... Yanga imelaaniwa.
 
Diara hakunyosha mkono. Kuna jamaa humu ohh kila diara akinyoosha mkono yanga inashinda. Walozi sana hawa
 
Dube a.k.a dubuluisha straika ana miaka 5 ligi kuu ya Tanzania na hajawahi kuwa top scorer? hakuna kitu hapo kabinyau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…