BonventureSr
JF-Expert Member
- Nov 16, 2023
- 879
- 1,432
Kuna shida sehem Boka hayuko Sawa,Amefiwa na mzazi wake baba.Eti hv ni kweli kuwa BOKA alikuwa anaanza mbele ya Valentino Nouma
Bado umchezeshe kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna shida sehem Boka hayuko Sawa,Amefiwa na mzazi wake baba.Eti hv ni kweli kuwa BOKA alikuwa anaanza mbele ya Valentino Nouma
Dstv n kimeo labda azam ungeonaChannEl gani dstv
HahahahaAucho ni mkubwa zaidi kuliko Fadlu
Hawa jamaa wamefufukaOrlando anakuumbua
Daah...hii dunia ina vichekesho vya kuvunja mbavu. Dstv iwe kimeo azam iwe bora? Mimi home hatutumii azam decoder ni uchafuDstv n kimeo labda azam ungeona
Nafasi ya dube wewe ungempanga nani?Kwenye mechi zote 3 zilizopota kuanzia ya Mazembe kwa mkapa, Al Hilal ugenini na Leo dhidi ya Algers, Dube kaonyesha kuwa na uwezo mdogo sana,
Kocha ana malengo yapi na huyu mchezaji ?
Afya ya akiliKwenye mechi zote 3 zilizopota kuanzia ya Mazembe kwa mkapa, Al Hilal ugenini na Leo dhidi ya Algers, Dube kaonyesha kuwa na uwezo mdogo sana,
Kocha ana malengo yapi na huyu mchezaji ?
Halafu utopolo mkamloga mayele akiwa misri hadi akalalamika..... Yanga imelaaniwa.Kusema ukweli tangu Fiston Kalala Mayele aondoke Yanga, pengo lake halijawahi kuzibwa pale mbele! Kuanzia Hafiz Konkoni, Kenned Musonda, Joseph Guede, Clement Mzize, Baleke, na hata Prince Dube; wote hawa wameshindwa kabisa kuvaa viatu vya Fiston Mayele!
Badala yake angecheza naniKwenye mechi zote 3 zilizopota kuanzia ya Mazembe kwa mkapa, Al Hilal ugenini na Leo dhidi ya Algers, Dube kaonyesha kuwa na uwezo mdogo sana,
Kocha ana malengo yapi na huyu mchezaji ?
Basi endelea kuitafuta game utaipata tuDaah...hii dunia ina vichekesho vya kuvunja mbavu. Dstv iwe kimeo azam iwe bora? Mimi home hatutumii azam decoder ni uchafu
Heeeh!!! Game ilikuwa ya kutafuta kiongozi wa kundi, Orlando alishaqualify.Orlando wala sidhan kama ataqualify
Azam siji tumia huo uchafu.Basi endelea kuitafuta game utaipata tu
Nani kakwambia utumie? Endelea kuitafuta hukohuko ulipo utaipataAzam siji tumia huo uchafu.