Kocha wa Yanga apasua Jipu!

Kocha wa Yanga apasua Jipu!

Song of Solomon

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
2,752
Reaction score
5,609
NABI: TUTAMKOSA MCHEZAJI MMOJA TU
.
“Tuna timu kamili nafikiri hii itakuwa sapraizi ya kwanza sijajua tumtumie mchezaji gani kuelekea mechi hii. Kila mtu yuko tayari na wachezaji wanataka kucheza hii mechi,” amesema Nabi ambaye juzi alipewa gari mpya aina ya Toyota Vanguard na uongozi wa GSM.
.
“Tutamkosa Yacouba (Songne) pekee, lakini tuna nafasi kubwa ya kuchagua watu bora ambao tutawaona wako tayari kutupa ushindi. Hii ni mechi ambayo tunatakiwa kushinda kwa namna yoyote.”
IMG-20220427-WA0087.jpg
 
Nina uhakika asilimia 💯 Simba anashida hii gemu Mana Hana anachokihofia yanga ubingwa hamuzezi kuuchukua pasipo kupapaswa na mnyama.
 
Yaani mwezi mzima wa tano mechi 3 tu kweli ?
Hizi mechi zinatosha wiki moja , kombe limetumiss mno wafanye haraka tunataka tuliweke ndani
 
Ninachokijua siku hiyo mwanakerekwe anatolewa Bikra mbele ya mashabiki wake
 
Hapo jipu alilopasua likowapi!? utoh kwa uandish mko weak sana.... kichwa cha habari(jipu) na ulichoandika hata haviendani!!
 
Nakazia Mkuu.
Tuna majeruhi mmoja tu Yacouba haaaaahaaaaaa nawachapa na 4~2~3~1
Kuamzia kipa hadi beki 5 inaeleweka ila hapa kati sasa naomba Nabi aniwekee Bangala na Aucho chini hlf juu Saido,Fey,Sure boy yaani tunaua winga moja pale mbele wenyewe wanajua anakaa nani kikosi hiki hawapati hata droo benchi nina Moloko,Farid,Mauya,Ngushi,Yasin,Bryson haaaaahaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom