Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Bravo Yanga, lets GoNABI: TUTAMKOSA MCHEZAJI MMOJA TU
.
“Tuna timu kamili nafikiri hii itakuwa sapraizi ya kwanza sijajua tumtumie mchezaji gani kuelekea mechi hii. Kila mtu yuko tayari...
Mwamba gari inamiss ile mbaya aseee, uwe una proof read ukimaliza kuandika kabla hujapostNina uhakika asilimia 💯 Simba anashida hii demu Mana Hana anachokihofia yanga ubingwa hamuzezi kuichukua pasipo kupapaswa na mnyama.
Punguza hofu wakati unaandika.Nina uhakika asilimia 💯 Simba anashida hii demu Mana Hana anachokihofia yanga ubingwa hamuzezi kuichukua pasipo kupapaswa na mnyama.
Na hapa hujafungwa bado. 🤣🤣Nina uhakika asilimia 💯 Simba anashida hii demu Mana Hana anachokihofia yanga ubingwa hamuzezi kuichukua pasipo kupapaswa na mnyama.
Nakazia Mkuu.Makolo wamekuja kipindi kibaya saaaaana
Nina uhakika asilimia 💯 Simba anashida hii demu Mana Hana anachokihofia yanga ubingwa hamuzezi kuichukua pasipo kupapaswa na mnyama.
HahahaaaaPunguza hofu wakati unaandika.
Mbumbumbu kwenye ubora wakeHapo jipu alilopasua likowapi!? utoh kwa uandish mko weak sana.... kichwa cha habari(jipu) na ulichoandika hata haviendani!!
Rage aliwapatia kweli ninyi mambumbumbuNinachokijua siku hiyo mwanakerekwe anatolewa Bikra mbele ya mashabiki wake
Shadeeya Bado siku mbili tu ya 3 tukutane Tena hapa hapa...Na hapa hujafungwa bado. 🤣🤣
Tukishinda si ndo utaandika vituko zaidi ya hivi Mkuu. 😀😀
Tate bwana!!!Punguza hofu wakati unaandika.
🤣🤣🤣🤣 Shukrani kaka doh ebwaneeh na kweli Asante Sana.Mwamba gari inamiss ile mbaya aseee, uwe una proof read ukimaliza kuandika kabla hujapost
Tuna majeruhi mmoja tu Yacouba haaaaahaaaaaa nawachapa na 4~2~3~1Nakazia Mkuu.