Najua hizo typing errors ndo zitakuwa lukuki siku hiyo maana wanasemaga matokeo yakiwa sio huwa moja haikai na mbili haikai pia.Shadeeya Bado siku mbili tu ya 3 tukutane Tena hapa hapa...
Aiseee! Hicho kikosi ni hatari.Tuna majeruhi mmoja tu Yacouba haaaaahaaaaaa nawachapa na 4~2~3~1
Kuamzia kipa hadi beki 5 inaeleweka ila hapa kati sasa naomba Nabi aniwekee Bangala na Aucho chini hlf juu Saido,Fey,Sure boy yaani tunaua winga moja pale mbele wenyewe wanajua anakaa nani kikosi hiki hawapati hata droo benchi nina Moloko,Farid,Mauya,Ngushi,Yasin,Bryson haaaaahaaaaaaaa
Nitakuita,nitakutafuta pia.kama una moyo mgumu tukutane VIP B.Najua hizo typing errors ndo zitakuwa lukuki siku hiyo maana wanasemaga matokeo yakiwa sio huwa moja haikai na mbili haikai pia.
Poa poa tukutane jumamosi Mkuu.
Nina uhakika asilimia [emoji817] Simba anashida hii gemu Mana Hana anachokihofia yanga ubingwa hamuzezi kuuchukua pasipo kupapaswa na mnyama.
Achana na ufuta badilishana na debe la pumba za mchele....maana huyo jamaa yako ni makapi kichwani.Ungekuwa ndugu yangu wewe ningebadilishana na gunia la ufuta
Achana na ufuta badilishana na debe la pumba za mchele....maana huyo jamaa yako ni makapi kichwani.
Duh Yani kisa kuamini juma mosi vyura mtafungwa na Simba ndio yanawatoka matusi yote haya?Ungekuwa ndugu yangu wewe ningebadilishana na gunia la ufuta
Naona umeweka picha ya basha wenu huyo wa kushoto,jumamosi lazima aitoe bikra iliyosubiriwa kwa hamu mnooooRage aliwapatia kweli ninyi mambumbumbuView attachment 2202550
Moloko msimsahau, mbio zake huku kulia ni balaa. Anawapeleka balaa Hussein hapandi kabisa.Tuna majeruhi mmoja tu Yacouba haaaaahaaaaaa nawachapa na 4~2~3~1
Kuamzia kipa hadi beki 5 inaeleweka ila hapa kati sasa naomba Nabi aniwekee Bangala na Aucho chini hlf juu Saido,Fey,Sure boy yaani tunaua winga moja pale mbele wenyewe wanajua anakaa nani kikosi hiki hawapati hata droo benchi nina Moloko,Farid,Mauya,Ngushi,Yasin,Bryson haaaaahaaaaaaaa
NaaaaamAiseee! Hicho kikosi ni hatari.
Kikubwa Wachezaji wajitume tu wasibweteke na ule ubaridi pale kileleni. Teh teh.
Bakhti mbaya hajawahi shine kwenye dabi farid na saido wana upepo sana na hz mechi kulilo moloko japo ni mchezaji mzuri sikataiMoloko msimsahau, mbio zake huku kulia ni balaa. Anawapeleka balaa Hussein hapandi kabisa.