Kocha wa Yanga apasua Jipu!

Kocha wa Yanga apasua Jipu!

Tuna majeruhi mmoja tu Yacouba haaaaahaaaaaa nawachapa na 4~2~3~1
Kuamzia kipa hadi beki 5 inaeleweka ila hapa kati sasa naomba Nabi aniwekee Bangala na Aucho chini hlf juu Saido,Fey,Sure boy yaani tunaua winga moja pale mbele wenyewe wanajua anakaa nani kikosi hiki hawapati hata droo benchi nina Moloko,Farid,Mauya,Ngushi,Yasin,Bryson haaaaahaaaaaaaa
Aiseee! Hicho kikosi ni hatari.

Kikubwa Wachezaji wajitume tu wasibweteke na ule ubaridi pale kileleni. Teh teh.
 
Najua hizo typing errors ndo zitakuwa lukuki siku hiyo maana wanasemaga matokeo yakiwa sio huwa moja haikai na mbili haikai pia.

Poa poa tukutane jumamosi Mkuu.
Nitakuita,nitakutafuta pia.kama una moyo mgumu tukutane VIP B.
 
Ungekuwa ndugu yangu wewe ningebadilishana na gunia la ufuta
Nina uhakika asilimia [emoji817] Simba anashida hii gemu Mana Hana anachokihofia yanga ubingwa hamuzezi kuuchukua pasipo kupapaswa na mnyama.
 
Achana na ufuta badilishana na debe la pumba za mchele....maana huyo jamaa yako ni makapi kichwani.
Ungekuwa ndugu yangu wewe ningebadilishana na gunia la ufuta
Duh Yani kisa kuamini juma mosi vyura mtafungwa na Simba ndio yanawatoka matusi yote haya?
Kweli mi simu mi4 bila ubingwa imewavuluga Sana ila iwe isiwe juma mos mnakufa goli 4 swafi kabisa
 
Tuna majeruhi mmoja tu Yacouba haaaaahaaaaaa nawachapa na 4~2~3~1
Kuamzia kipa hadi beki 5 inaeleweka ila hapa kati sasa naomba Nabi aniwekee Bangala na Aucho chini hlf juu Saido,Fey,Sure boy yaani tunaua winga moja pale mbele wenyewe wanajua anakaa nani kikosi hiki hawapati hata droo benchi nina Moloko,Farid,Mauya,Ngushi,Yasin,Bryson haaaaahaaaaaaaa
Moloko msimsahau, mbio zake huku kulia ni balaa. Anawapeleka balaa Hussein hapandi kabisa.
 
Moloko msimsahau, mbio zake huku kulia ni balaa. Anawapeleka balaa Hussein hapandi kabisa.
Bakhti mbaya hajawahi shine kwenye dabi farid na saido wana upepo sana na hz mechi kulilo moloko japo ni mchezaji mzuri sikatai
 
Back
Top Bottom