Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
[emoji23][emoji23][emoji23]Yani Tokea aje Tanzania Huyu MWINYI ZUHURA basi leo kwa Mara ya Kwanza ndiyo kazungumza kitu cha maana.
Msemaji wa yanga zahera ameanza kuwa na akili mtani: naunga mkono hoja hakika al ahaly na mnyama tu ndo tutapenya roho fainali, maana pale kwa mchina si mahala pazuri kuanzia kwa bakuli fc mpaka vilabu vingine vya nje vitavyokuja
Yaani kama umesoma probability na mechi katika nchi za kiafrica basi Simba kishapita. Halafu sijui kwa nini Africa team ni ngumu sana kupoteza mechi za nyumbani. Siyo kama Ulaya jana tumeshuhudia Real akipigwa kwao 4.
Hahahahahah kwamba ZuhuraYani Tokea aje Tanzania Huyu MWINYI ZUHURA basi leo kwa Mara ya Kwanza ndiyo kazungumza kitu cha maana.
Poa. Umejua kumisika Mtani.
Hahaaa. lol.Kwahiyo huamini au?
Lakini uliposikia kasema Simba inanunua Timu kwa Mil10 zimbanie yanga hukuhoji kuwa ni maneno ya kulishwa.
Wachaaaa.Yani Tokea aje Tanzania Huyu MWINYI ZUHURA basi leo kwa Mara ya Kwanza ndiyo kazungumza kitu cha maana.
Kuna uzi wako mmoja hivi nilikutana nao sehemu Mtani nikashindwa hata kukupa like aisee.Kweli mswahili ni mswahili tu,ulishawahi kusikia Uchebe anaizungumzia Yanga?
Mtani Ujue comment zenu zinanifurahisha sana maana leo wote mnazifurahia wakati zingekuwa za kuwaponda nyote mngemuona Zahera Mwanga.Msemaji wa yanga zahera ameanza kuwa na akili mtani: naunga mkono hoja hakika al ahaly na mnyama tu ndo tutapenya roho fainali, maana pale kwa mchina si mahala pazuri kuanzia kwa bakuli fc mpaka vilabu vingine vya nje vitavyokuja
Punguza uchawiMtani Ujue comment zenu zinanifurahisha sana maana leo wote mnazifurahia wakati zingekuwa za kuwaponda nyote mngemuona Zahera Mwanga.
I'm waiting the game with AS Vita Club to believe your words Mtani.
Jana alichokifanya man utd kwa PSG ndicho tutakacho kifanya kwa as vital na js soura jumamosi. This is football mtani.Mtani Ujue comment zenu zinanifurahisha sana maana leo wote mnazifurahia wakati zingekuwa za kuwaponda nyote mngemuona Zahera Mwanga.
I'm waiting the game with AS Vita Club to believe your words Mtani.
Sawa Mtani. Tusubiri tuone.Jana alichokifanya man utd kwa PSG ndicho tutakacho kifanya kwa as vital na js soura jumamosi. This is football mtani.
Natumai utazingatia kauli mbiu ya Tanzania kwanza mtani. Huta omba uraia wa mda kwa izo nchi mbili.Sawa Mtani. Tusubiri tuone.
Zahera kaongea kitaalamu..AS Vita imecheza fainali msimu uliopita CAF Confederation Cup..Na hawajapumzika ..uenda wana fatigueHatuzitaki tathmini zake, yeye aendelee kuboresha kikosi chake na si kituzungumzia.
Wiki haijapita kuna thread ililetwa humu kwamba Simba haina uwezo wa kusajili mchezaji wa AS Vita, sasa anaipaje 40% na sisi 60% wakati inao wachezaji wazuri na wanalipwa vizuri?