Kocha wa Yanga atoa silimia zake kwa timu ya Simba kushiliki lobo fainali

Kocha wa Yanga atoa silimia zake kwa timu ya Simba kushiliki lobo fainali

Huku Afrika mpira wa kweli hakuna, ni full ujanja ujanja tu. Ndiyo maana bingwa wetu akienda kukutana na mabingwa wa ukweli huko duniani uambulia vichapo tu. Wenzetu mpira unachezwa uwanjani, sisi mpira wetu nje ya uwanja kwa sana, uwanjani zerooo. Kwanza angalia hata ligi ulinganishe na za wenzetu, utapata ukweli wa ninachomaanisha.
Yaani kama umesoma probability na mechi katika nchi za kiafrica basi Simba kishapita. Halafu sijui kwa nini Africa team ni ngumu sana kupoteza mechi za nyumbani. Siyo kama Ulaya jana tumeshuhudia Real akipigwa kwao 4.
 
Msemaji wa yanga zahera ameanza kuwa na akili mtani: naunga mkono hoja hakika al ahaly na mnyama tu ndo tutapenya roho fainali, maana pale kwa mchina si mahala pazuri kuanzia kwa bakuli fc mpaka vilabu vingine vya nje vitavyokuja
Mtani Ujue comment zenu zinanifurahisha sana maana leo wote mnazifurahia wakati zingekuwa za kuwaponda nyote mngemuona Zahera Mwanga.

I'm waiting the game with AS Vita Club to believe your words Mtani.
 
Mtani Ujue comment zenu zinanifurahisha sana maana leo wote mnazifurahia wakati zingekuwa za kuwaponda nyote mngemuona Zahera Mwanga.

I'm waiting the game with AS Vita Club to believe your words Mtani.
Jana alichokifanya man utd kwa PSG ndicho tutakacho kifanya kwa as vital na js soura jumamosi. This is football mtani.
 
Hatuzitaki tathmini zake, yeye aendelee kuboresha kikosi chake na si kituzungumzia.

Wiki haijapita kuna thread ililetwa humu kwamba Simba haina uwezo wa kusajili mchezaji wa AS Vita, sasa anaipaje 40% na sisi 60% wakati inao wachezaji wazuri na wanalipwa vizuri?
Zahera kaongea kitaalamu..AS Vita imecheza fainali msimu uliopita CAF Confederation Cup..Na hawajapumzika ..uenda wana fatigue
 
Back
Top Bottom