eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Wapenzi wa mpira hebu tuwe wa kweli kwa hili.CAF imeteua waamuzi kutoka nchi 33 za Arica kati 54.Kwa ujumla katika hizo 33 Tanzania hatumo,sio refa tu hata msaidizi jamani.Mwinyi Zahiri kocha wa Yanga amewaambia ukweli TFF kuwa waamuzi wa bongo ni wabovu hajata kuona duniani.TFF eti wamekwazika na huo ukweli.Je wangekua wazuri si hata mmoja angeitwa japo kushika kibendera?cha kushangaza Hadija Manara anatolea povu hio kauli kama haoni wakati msimu ulopita ye na makofia walikemea sana swala hilo.Mnalionaje hili swala wana JF?