KOCHA WA YANGA KUKOSOA MAREFA WA BONGO UNAANZAJE KUMLAUMU KWA MFANO.

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Wapenzi wa mpira hebu tuwe wa kweli kwa hili.CAF imeteua waamuzi kutoka nchi 33 za Arica kati 54.Kwa ujumla katika hizo 33 Tanzania hatumo,sio refa tu hata msaidizi jamani.Mwinyi Zahiri kocha wa Yanga amewaambia ukweli TFF kuwa waamuzi wa bongo ni wabovu hajata kuona duniani.TFF eti wamekwazika na huo ukweli.Je wangekua wazuri si hata mmoja angeitwa japo kushika kibendera?cha kushangaza Hadija Manara anatolea povu hio kauli kama haoni wakati msimu ulopita ye na makofia walikemea sana swala hilo.Mnalionaje hili swala wana JF?
 
Huko Congo wameteuliwa wangapi tuanzie hapo kwanza
 
Kwanza tuanzie hapa, kwa Mara ya mwisho marefa wa bongo kuteuliwa kuchezesha Fainali za Africa ni lini?
 
Manara anatolea povu hio kauli kama haoni wakati msimu ulopita ye na makofia walikemea sana swala hilo.Mnalionaje hili swala wana JF?
Wakati wanakemea ninyi mlisema lolote? Kaa kimya chura, msimu wa mvua ndo kwanza unaanza
 
Taswila ya uchafu kwenye Mpira wetu ndio hali halisi katika Nchi yetu kwa ujumla. Nchi imejaa rushwa lefa Yuko tayali kupokea elfu hamsini avunje utu wake. Uko ligi daraja la kwanza ni aibu tupu Takukuru wanatakiwa wafanye kazi kubwa. Tuwasaidie takukuru ku unuru mpira wetu.

Back
Top Bottom