Kocha wa Yanga ni kiburi,adhibitiwe mapema

Kocha wa Yanga ni kiburi,adhibitiwe mapema

... tujiulize huo mkono alikua anampa kwa wakati gani. Je baada ya mchezo, katikati ya mchezo au mwanzo wa mchezo?
... refa akampa kadi ya njano, baada ya kupewa kadi ya njano, kocha anampa mkono refa.
Umefafanua vizuri sana, hongera. Ule mkono ni kejeli. Ni sawa na mchezaji kupewa kadi halafu aanze kupiga makofi, usidhani anashangilia, ni kejeli kwa refa. Mchezo unaendelea, mkono wa nini? Walau hata ingekuwa half time
 
Kwa situation iliyokuwepo ilimruhusu kocha kuingia.Mara kibao makocha wanaingia uwanjani kama situation iliyotokea uwanjani.Ila sio kwamba namtetea kocha ama nani hapana.najaribu tu kuangalia situation iliyokuwepo
Hivi umeangalia clip vizuri? Je kocha anaruhusiwa kuingia uwanjani bila kuitwa na refa? Mimi mpenzi wa Yanga lakini kocha alifanya kosa kuvuka mstari wa uwanja na kama refa angalikubali mkono wake, lingekuwa kosa la refa! Huyo kocha ana igo tu la kizungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa situation iliyokuwepo ilimruhusu kocha kuingia.Mara kibao makocha wanaingia uwanjani kama situation iliyotokea uwanjani.Ila sio kwamba namtetea kocha ama nani hapana.najaribu tu kuangalia situation iliyokuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kweli ilikuwa sahihi kumpa mkono? Au alikuwa anamsanifu tu
 
Nyie ndo mnafanya wanayanga wote tuonekane wapumbavu. Sometime tuwe tunatumia akili hata kidogo.toka amefariki mzee wetu akilimali wamebaki akina akilimavi kama wewe. Kila siku sisi ni watu wa kulalamika tu. Mo anaingiaje hapa?yanga tuna wachezaji gani? Acheni ufala nyie.

huyoo aliye andika hiyo 'taarifa' ya tff si ni member humu jamvini na woote tunamjua kwa namna alivyo mnazi kweli kweli wa simba, akiendelea na ka tabia hako nitamwanika ID yake hadharan ingawa sheria za JF zinakataza……...
 
Nyie ndo mnafanya wanayanga wote tuonekane wapumbavu. Sometime tuwe tunatumia akili hata kidogo.toka amefariki mzee wetu akilimali wamebaki akina akilimavi kama wewe. Kila siku sisi ni watu wa kulalamika tu. Mo anaingiaje hapa?yanga tuna wachezaji gani? Acheni ufala nyie.

ukiiangalia vizuri hiyo 'taarifa' ya kipumbavu ya huyo falla utaona tayari amesha toa hukumu tena yeye binafsi bila hata ya kuishirikisha kamati yoyote, ajeee akomenti aone nitakavyo mchana.....kubabaakeee!
 
Nyie ndo mnafanya wanayanga wote tuonekane wapumbavu. Sometime tuwe tunatumia akili hata kidogo.toka amefariki mzee wetu akilimali wamebaki akina akilimavi kama wewe. Kila siku sisi ni watu wa kulalamika tu. Mo anaingiaje hapa?yanga tuna wachezaji gani? Acheni ufala nyie.

kwa nini kila kocha wa yanga anawalalamikia marefa? alianza Zahera, Mkwasa, sasa hivi huyu mzungu, Marefa wanaididimiza sana Yanga kwa maagizo ya MO.
 
TFF kwa hili wawe wakali wakimlegezea tu itakuwa yale yale ya Zahera kukaa juu ya viongozi wa Yanga na TFF halafu kukawa hakuna wa kumdhibiti. Suala alilozusha juu ya kubaguliwa wakati sio kweli ni suala zito sana na linagusa maslahi mapana ya Taifa. Hata mimi ningekuwa refa halafu nimeshampa kadi nisingemsogelea kupokea mkono wake maana sijui dhamira yake ni mbaya au ni nzuri kwa wakati ule na hasa hasira alizokuwa anazionyesha kama chui aliyejeruhiwa. Hivyo aonywe na aombe radhi hadharani na afute kauli yake hiyo haraka sana.

Ila viongozi wa Yanga ndio wa kulaumiwa kwa kuwaruhusu wafadhili kuleta kocha mpya tena anayepaniki bila hata sababu za msingi. Kufungwa tu mechi mbili anapaniki kiasi kile. Hivi kulikuwa na shida gani Mkwasa kumalizia msimu halafu ndio viongozi wamlete huyu mzee wa kupaniki mwishoni mwa msimu? Hivi kazi kubwa aliyoifanya Mkwasa ndani ya muda mfupi kuibadilisha Yanga ya Zahera kuwa Yanga ya ushindani haikuonekana? Au ndio mwenye fedha zake akiamua kufanya chochote ndani ya Yanga kunakuwa hakuna wa kumpinga.
Hakuna mpangilio wowote pale Yanga . Ni kama hakuna uongozi au viongozi ni kama wa timu ya Daraja la nne.Sijui kama kuna director wa Ufundi anaesimamia masuala ya ufundi. Au labda kuna kiongozi Au tajiri mamluki anaihujumu Yanga , anafanya majaribio kama yupo maabara, mkwasa amerudisha ushindani pengine halikufurahisha watu.
Sijaona ulaya hata afrika timu inabadilisha kocha aliyeleta matokeo chanya katikati kabla ya msimu kuisha.
Alipoletwa huyu mzungu nilijua hana jipya zaidi ya mkwasa bora wangemleta Hans van pluimj
 
Ndugu, hata wewe huna tofauti na huyo kocha pengine. Sioni hoja yako kama ina mashiko. Unaongea hisia zako tu.
 
Back
Top Bottom