Tetesi: Kocha wa Yanga ni suala la mda ataondoka au kuachwa

Tetesi: Kocha wa Yanga ni suala la mda ataondoka au kuachwa

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Huyu Saed Ramovic hana tofauti na aliyekuwa kocha wa Simba Benchika, alipokuja alikuwa anaponda wachezaji na ligi yetu. Mwisho wa siku akaamua kuondoka na akawachukua wale wachezaji aliokuwa anaponda.

In short hana uwezo anajificha kwenye kichaka cha ligi.
 
Ligi yetu duni,ipo slow,akina mudathir wanaohitaji muda mrefu kufanya maamuzi madhaifu yao hufichwa, tazama boka alivyokosa utulivu kwenye kupiga krosi kisa kukabwa chapu, lakini kwenye ligi hupiga krosi nzuri tu,mtazame mudathir na alhilal game ya kwanza,wanakua pressed chapu
 
Huyu Saed Ramovic hana tofauti na aliyekuwa kocha wa Simba Benchika, alipokuja alikuwa anaponda wachezaji na ligi yetu. Mwisho wa siku akaamua kuondoka na akawachukua wale wachezaji aliokuwa anaponda.

In short hana uwezo anajificha kwenye kichaka cha ligi.
Sasa ulitegemea atakaa Yanga milele? Hakuna ulichoandika hapa. Umetegeshea akiondoshwa tu useme niliwaambia.
 
Side kama Side the Plumber.Plumber kwa slang za kule Bondeni South Afrika ni kanjanja. Yaani mtu asiye na taalum bali kelele.
 
Back
Top Bottom