kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Kocha wa Yanga akumbushwe kwamba TP Mazembe siku zote wanacheza mpira wa kujiami sio ugenini au nyumbani kwa hiyo akija na mpira wake ule wa kutafuta possession na kushindwa kupeleka mashambulizi mbele hatutoboi hakika hivi
Yanga tuna wachezaji wazuri kuliko Mazembe ila Mazembe wanajiamini kuliko sisi. Kwa hiyo basi ili kuwaweza mazembe ni lazima tucheze mpira wa long pass ili kuzuia mazembe wasiwe wanapanda saana
Na tutumie washambuliaji watatu Mzize, mayele, na msonda. Tuachane na kisinda, na moloko tucheze na Centre forwards watatu
Dawa ya moto moto tu ni speed kwenda mbele bila ivo hakika tutalamba makaa ya moto