permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Raja watamaliza pakiti kwa MkapaMbona mtajuta kwanini mliwatoa wale Club Africain, kazi mnayo, naona sasa kila shabiki wa utopoloni kocha.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raja watamaliza pakiti kwa MkapaMbona mtajuta kwanini mliwatoa wale Club Africain, kazi mnayo, naona sasa kila shabiki wa utopoloni kocha.
Ila ww Una hakika kua utamfunga RajaKabisa umeshiba magimbi unaamini kwamba yanga atimfunga tp mazembe.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
3/4 ya kikosi chao ni wacongo ambao wametokea team ya As Vita ambayo ilikuwa ina tawaliwa na haohao Mazembe, kisha mpumbavu mmoja anasema Yanga ina kikosi kizuri kulikoHukumbuki hata afisa habari wao alipata kusema kuwa Yanga ina Wachezaji Quality na thamani kubwa kuliko Al Hilal
Wanajipumbaza sana.
Chizi kaona jalala jipya na nyani haoni kunduleIla ww Una hakika kua utamfunga Raja
Maajabu hayaishi
Kwamba long pass???!!!Kocha wa Yanga akumbushwe kwamba TP Mazembe siku zote wanacheza mpira wa kujiami sio ugenini au nyumbani kwa hiyo akija na mpira wake ule wa kutafuta possession na kushindwa kupeleka mashambulizi mbele hatutoboi hakika hivi
Yanga tuna wachezaji wazuri kuliko Mazembe ila Mazembe wanajiamini kuliko sisi. Kwa hiyo basi ili kuwaweza mazembe ni lazima tucheze mpira wa long pass ili kuzuia mazembe wasiwe wanapanda saana
Na tutumie washambuliaji watatu Mzize, mayele, na msonda. Tuachane na kisinda, na moloko tucheze na Centre forwards watatu
Dawa ya moto moto tu ni speed kwenda mbele bila ivo hakika tutalamba makaa ya moto
HahahahaKisindaa na maroko hawafaii kuchezaa yanga , na yanga Haina mpishi wa magori mfano Simba tunajuaa wapishi wa magori ni chama anaasist 12++ na tibazongizaa anamagori na assist......... tukijaaa yanga fei hayupo yupoo Jesus moroko ndo mpikajii/mtengenezaji wa magori afu anaasist 3 tuh afu uyoo ndotunaamtegemeaaa kwenye match za kimataifa inasikitishaa Sanaaa [emoji1787]
Mada ni yanga na mazembeSimba inakikosi cha billion ngapi zaidi ya Raja?
Hii nchi inafuga wajinga wengi sana[emoji3][emoji3]Nimeishia hapo uliposema "Yanga tunao wachezaji wazuri kuliko Mazembe..."
Sent using Jamii Forums mobile app
Thread ilipaswa kuishia hapa.Central forward bila mawinga lazima wawe na uwezo wa kukaa na mpira, kufungua au kuvunja ukuta! Yanga mna typical strikers mtawapa mzigo tu.
Simba washambuliaji wetu wote wanaweza kucheza role tofauti, Boko anaweza kutokea pembeni, Phiri, Baleke, Kibu, Kiyombo, Chama, Saido wote wanaweza ku switch position ndani ya game kuleta matokeo.
Yanga lazima mcheze na mawinga aina ya Bernard Morrison na Farid wawasaidie. Pia mnajitaji kiungo mbunifu kurahisisha kazi kwenye mashambulizi. Feitoto hayupo msogezeni Aucho mbele awe huru then Bangala awe kiungo mkabaji. Mtapata balance nzuri.
Bila Morrison aliyefiti hiyo game itakuwa ngumu sana kwenu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Aliyewadanganya watanzania kupima ubora wa kikosi kwa kuangalia thamani ya kikosi atafute auwawe.Watz 89% ni wacha-mbuzi fekiYanga Wana wachezaji wazuri kuliko mazembe ..kisinda?,moloko?kibwana,job? Hauko serious wewe.
Kikosi cha bil 4 ufananishe na kikosi cha mil 600?
Bado unaendelea kucheka au sasa hvi unalia?Huu ulimwengu haujawahi kuisha vituko nimecheka sana aliposema et uto ina wachezaji waruzi kuliko Mazembe.
Wachezaji hao ni wapi sijaona labda wapo wengine tofauti na wale tunaowajua.
Yupo mwanariadha anakimbia mpaka anataka kutoka nje ya uwanja ogopa anawazidi mpaka mbio linesman,mwingine beki kanenepeana trako kama lote.
Tuchambue kwa mizania mpira Wala hauhitaj jazba timu uliyoibeza imefanya maaajabu na timu uliyoiamin imeduwazwaEti Yanga ina wachezaji wazuri kuliko Tp mazembe!
Akili zenu huwa mnazivua au hamnazo kabisa?
Au mlipodanganywa na injinia Hersi kuwa aliwapiku Mazembe kwa Musonda mkajiona wakubwa siyo?
Mazembe bado ni dume la simba lililozeeka kamwe halitakuwa nyau.
Ni timu inayoweza kupata matokeo chanya popote bila kujali ugenini.