Kocha wa Yanga SC akumbushwe hili kuhusu TP Mazembe

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kocha wa Yanga akumbushwe kwamba TP Mazembe siku zote wanacheza mpira wa kujiami sio ugenini au nyumbani kwa hiyo akija na mpira wake ule wa kutafuta possession na kushindwa kupeleka mashambulizi mbele hatutoboi hakika hivi

Yanga tuna wachezaji wazuri kuliko Mazembe ila Mazembe wanajiamini kuliko sisi. Kwa hiyo basi ili kuwaweza mazembe ni lazima tucheze mpira wa long pass ili kuzuia mazembe wasiwe wanapanda saana
Na tutumie washambuliaji watatu Mzize, mayele, na msonda. Tuachane na kisinda, na moloko tucheze na Centre forwards watatu

Dawa ya moto moto tu ni speed kwenda mbele bila ivo hakika tutalamba makaa ya moto
 
Yanga Wana wachezaji wazuri kuliko mazembe ..kisinda?,moloko?kibwana,job? Hauko serious wewe.
Kikosi cha bil 4 ufananishe na kikosi cha mil 600?
Huu ulimwengu haujawahi kuisha vituko nimecheka sana aliposema et uto ina wachezaji waruzi kuliko Mazembe.
Wachezaji hao ni wapi sijaona labda wapo wengine tofauti na wale tunaowajua.
Yupo mwanariadha anakimbia mpaka anataka kutoka nje ya uwanja ogopa anawazidi mpaka mbio linesman,mwingine beki kanenepeana trako kama lote.
 
wachezaji waruzi ndio nini?
 
Kisindaa na maroko hawafaii kuchezaa yanga , na yanga Haina mpishi wa magori mfano Simba tunajuaa wapishi wa magori ni chama anaasist 12++ na tibazongizaa anamagori na assist......... tukijaaa yanga fei hayupo yupoo Jesus moroko ndo mpikajii/mtengenezaji wa magori afu anaasist 3 tuh afu uyoo ndotunaamtegemeaaa kwenye match za kimataifa inasikitishaa Sanaaa 🤣
 
Central forward bila mawinga lazima wawe na uwezo wa kukaa na mpira, kufungua au kuvunja ukuta! Yanga mna typical strikers mtawapa mzigo tu.

Simba washambuliaji wetu wote wanaweza kucheza role tofauti, Boko anaweza kutokea pembeni, Phiri, Baleke, Kibu, Kiyombo, Chama, Saido wote wanaweza ku switch position ndani ya game kuleta matokeo.

Yanga lazima mcheze na mawinga aina ya Bernard Morrison na Farid wawasaidie. Pia mnajitaji kiungo mbunifu kurahisisha kazi kwenye mashambulizi. Feitoto hayupo msogezeni Aucho mbele awe huru then Bangala awe kiungo mkabaji. Mtapata balance nzuri.

Bila Morrison aliyefiti hiyo game itakuwa ngumu sana kwenu.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
kwisha Nabi hanaga mbinu mbadala ni possession mpaka mwisho,iyo mbinu ya long ball ndo atavurunda zaidi Uto mtapigwa kama ngoma.
abaki na mpira wa pasi nyingi uwenda lolote likatoke mkapata bahati mkapunguza idadi ya magoli ya kufungwa.😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…