Kocha wa Yanga SC akumbushwe hili kuhusu TP Mazembe

Hukumbuki hata afisa habari wao alipata kusema kuwa Yanga ina Wachezaji Quality na thamani kubwa kuliko Al Hilal

Wanajipumbaza sana.
3/4 ya kikosi chao ni wacongo ambao wametokea team ya As Vita ambayo ilikuwa ina tawaliwa na haohao Mazembe, kisha mpumbavu mmoja anasema Yanga ina kikosi kizuri kuliko
mazembe.
 
Kwamba long pass???!!!
 
Hahahaha
 
Thread ilipaswa kuishia hapa.
 
Timu za Tanzania wikiend hii ni vilio vizito.
 
Eti Yanga ina wachezaji wazuri kuliko Tp mazembe!
Akili zenu huwa mnazivua au hamnazo kabisa?

Au mlipodanganywa na injinia Hersi kuwa aliwapiku Mazembe kwa Musonda mkajiona wakubwa siyo?

Mazembe bado ni dume la simba lililozeeka kamwe halitakuwa nyau.

Ni timu inayoweza kupata matokeo chanya popote bila kujali ugenini.
 
Asimpange kisinda kabisaa, huyu mtu na Morrison sijui injinia alikunjea uji wa wapi hadi kushawishika kuwarudisha. Kisinda anakimbia tuu hovyo mpaka usawa wa goli kashaapita saa nyingi bado anakimbia tuu
 
Yanga Wana wachezaji wazuri kuliko mazembe ..kisinda?,moloko?kibwana,job? Hauko serious wewe.
Kikosi cha bil 4 ufananishe na kikosi cha mil 600?
Aliyewadanganya watanzania kupima ubora wa kikosi kwa kuangalia thamani ya kikosi atafute auwawe.Watz 89% ni wacha-mbuzi feki
 
Bado unaendelea kucheka au sasa hvi unalia?
 
Tuchambue kwa mizania mpira Wala hauhitaj jazba timu uliyoibeza imefanya maaajabu na timu uliyoiamin imeduwazwa

Tuache mpira uongeee mbona kocha wenu anafalsafa nzuri tu ya acha boli litembeee

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…