Embu ifikie wakati mashabiki muongee kiufundi, kocha kosa lake ni lipi kwa matokeo yaliopatikana sio kusema tu kocha ni mpiga dili mara hamna kocha, ukiachana na swala binafsi la wachezaji kutokuwa na nidhamu, ni lipi kosa la huyu kocha mpya?Yani unapewa kadi ya njano unatoa mkono wa kumpongeza mwamuzi hyo si kejel kwa mwamuzi.Ningekua mm refa ningemalizia nyekundu kabisa.
Kiufup Yanga wameingia chaka,huyu mpiga deal tu.
Anakimbilia ubaguz wakati hakuna aliyembagua.Anajibagua mwenyewe halafu anasingizia kabaguliwa.Foolish.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakubaliana na kocha anacholalamikia?unakubali anavyosema refa alimbagua kwa rangi yake? Unakubali alikua fair kutaka kumpa refa mkono baada ya kupewa kad ya njano?Embu ifikie wakati mashabiki muongee kiufundi, kocha kosa lake ni lipi kwa matokeo yaliopatikana sio kusema tu kocha ni mpiga dili mara hamna kocha, ukiachana na swala binafsi la wachezaji kutokuwa na nidhamu, ni lipi kosa la huyu kocha mpya?
Kabla ya ujio wa huyu kocha mashabiki mlikuwa mnalalamika kuwa yanga wanabutua butua tu, kaja kocha mpya hata wiki mbili hajamaliza lakini unaona yanga inavyocheza soka la kuvutia na magoli takribani yote kwanzia mechi ya kagera ni makosa binafsi ya wchezaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona mzungu analalamika basi kuna shida sehemu, wazungu hawana tabia yakulalamika hovyohovyo, huyu atakuwa mzungu feki, morinyo alikuwa na tabia ya kulalamika saivi kaamua aanze kupiga chabo kujua wenzie wanafanyajeJanuary 18, 2020
Dar es Salaam, Tanzania
Azam 1 - Young Africans 0
Kocha wa mkuu wa Yanga mbelgiji Luc Eymail atokwa povu na kulia kufuatia vipigo ktk mechi mfululizo. Na matokeo ya leo Kocha Luc Eymail baada ya mechi ametoa tuhuma nyingi zikiwemo kupewa kadi ya njano, yeye kocha kufanyiwa ubaguzi wa rangi kwa refa kukataa kumpa mkono , maamuzi mabovu ya marefa .
Inaonekano kocha huyu kwa pressure iliyoko ktk klabu, utamaduni wa vilabu vikongwe Tanzania, wanachama na wapenzi wa klabu hiyo kongwe anaweza akatupiwa virago ndani ya siku chache.
Hahahaha, bongo kila mgeni mpiga dili ,hiyo nchi INA wapumbavy sana. Ujuaji mwingi mbele kizaEmbu ifikie wakati mashabiki muongee kiufundi, kocha kosa lake ni lipi kwa matokeo yaliopatikana sio kusema tu kocha ni mpiga dili mara hamna kocha, ukiachana na swala binafsi la wachezaji kutokuwa na nidhamu, ni lipi kosa la huyu kocha mpya?
Kabla ya ujio wa huyu kocha mashabiki mlikuwa mnalalamika kuwa yanga wanabutua butua tu, kaja kocha mpya hata wiki mbili hajamaliza lakini unaona yanga inavyocheza soka la kuvutia na magoli takribani yote kwanzia mechi ya kagera ni makosa binafsi ya wchezaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, inawezekana
Unakubaliana na kocha anacholalamikia?unakubali anavyosema refa alimbagua kwa rangi yake? Unakubali alikua fair kutaka kumpa refa mkono baada ya kupewa kad ya njano?
Halafu kwa kuongezea unajua huyu kocha ndan ya miez sita had saba kafundisha timu nne tofauti,kuna tatizo apo au ww hulioni bado?Ndio maana nakwambia kocha nae ni tatizo,km hautanielewa apo bas nahitaj ubao na chaki.Na wapiga deal Yanga wamejaa kibao tu,we angalia aina ya usajili uliofanywa na Yanga ndan ya muda mchache ndio utagundua.
Sent using Jamii Forums mobile app