Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kumfananisha Mourinho na vitu vya kipumbavu wewe KilazaUkiona mzungu analalamika basi kuna shida sehemu, wazungu hawana tabia yakulalamika hovyohovyo, huyu atakuwa mzungu feki, morinyo alikuwa na tabia ya kulalamika saivi kaamua aanze kupiga chabo kujua wenzie wanafanyaje
Kuna uwezekano mocha ataondoka mwenyewe kabla ya kuondolewa anasingizia ubaguzi wa rangi.Unakubaliana na kocha anacholalamikia?unakubali anavyosema refa alimbagua kwa rangi yake? Unakubali alikua fair kutaka kumpa refa mkono baada ya kupewa kad ya njano?
Halafu kwa kuongezea unajua huyu kocha ndan ya miez sita had saba kafundisha timu nne tofauti,kuna tatizo apo au ww hulioni bado?Ndio maana nakwambia kocha nae ni tatizo,km hautanielewa apo bas nahitaj ubao na chaki.Na wapiga deal Yanga wamejaa kibao tu,we angalia aina ya usajili uliofanywa na Yanga ndan ya muda mchache ndio utagundua.
Sent using Jamii Forums mobile app
1) Kama ukiangalia vizuri tukio. wakati Ali sonso yupo chini alichezewa faulo hapo ndipo kocha wa yanga alipeleka macho yake kwa refarii kumlalamika. Wakati macho ya kocha wa yanga akielekezwa kwa refa ndio wakati huo huo Sonso kafanyia tukio baya zaidi kwa kurudishia na wakati huo huo refa alikuwa kaishaelekeza macho yake kwenye tukio la Sonso.
Hivyo kocha kulalamika ni kwavile tu kapishana na tukio la Sonso kurudisha rafu mbaya kwa mchezaji wa azam hivyo alihisi kuonewa kwavile yeye alifanikiwa kushuhidia tukio la mwanzoni ambapo sonso alichezewa rafu.
2) kusema kuwa refarii alimbagua rangi hilo siwezi msemea akilini mwake alifikiria nini.
3) hilo la miezi sita au saba kufundisha timu tofauti nne sina uhakika nalo labda unipe data juu ya hilo ila nachofahamu mimi huyu kocha hajawahi kukaa na timu kwa zaidi ya msimu mmoja na hilo nalo sio tatizo endapo ndani ya kipindi anachochukua timu, timu ina achieve kitu. Ukiangalia profile yake pamoja na kukaa na timu kwa muda mfupi lakini mwisho wa siku timu inapata mafanikio.
Mimi siwezi kuzungumzia swala la upigaji dili kwa wachezaji au kwa viongozi kwasababu hilo linajulikana katika simba na yanga. Nataka uniambie madhaifu ya kocha kimbinu, kiufundi ni yapi. Matatizo ya wachezaji binafsi asipelekewe kocha kana kwamba labda yeye ndio kawaleta hao wachezaji.
Mashabiki mjifunze kuwa wavumilivu, na kuwa wajuaji. Timu haijengwi kama nyumba kwavile una ela basi hata siku moja unamaliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Morinyo uwe unamzungumzia kwa heshma, yule ni great coach, sema ni mjeuri na ana ukorofi.Ukiona mzungu analalamika basi kuna shida sehemu, wazungu hawana tabia yakulalamika hovyohovyo, huyu atakuwa mzungu feki, morinyo alikuwa na tabia ya kulalamika saivi kaamua aanze kupiga chabo kujua wenzie wanafanyaje
Mi namchukulia comedian flani hiviMorinyo uwe unamzungumzia kwa heshma, yule ni great coach, sema ni mjeuri na ana ukorofi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe ungekataliwa ungeona hvyo wenzetu vitu vidogo vinakuwa vikubwaYani unapewa kadi ya njano unatoa mkono wa kumpongeza mwamuzi hyo si kejel kwa mwamuzi.Ningekua mm refa ningemalizia nyekundu kabisa.
Kiufup Yanga wameingia chaka,huyu mpiga deal tu.
Anakimbilia ubaguz wakati hakuna aliyembagua.Anajibagua mwenyewe halafu anasingizia kabaguliwa.Foolish.
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi sina shaka na uwezo wa kocha, shida mashabiki wa bongo ni vigeugeu sana. Alikuwa Zahera mwinyi mashabiki wakalalamika kuwa timu haichezi mpira wa kueleweka na haijulikani hata yanga inacheza mfumo gani, tunashinda kwa faulo na bahati nasibu.Umeongea kisports sana mkuu,Yanga jana pamoja na kufungwa bado ilicheza mpira mzuri kupita azam,binafsi sijaiona Yanga iloyocheza mpira mzuri kama jana toka alipoondoka kocha hans
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ali Sonso amechezewa rafu ya kimchezo na wala hakua chini rudia na uangalie vzur hyo clip yako,mara mia angejiangusha na kuugulia maumivu ili mchezaj wa Azam apate kadi lkn sio kumkanyaga.1) Kama ukiangalia vizuri tukio. wakati Ali sonso yupo chini alichezewa faulo hapo ndipo kocha wa yanga alipeleka macho yake kwa refarii kumlalamika. Wakati macho ya kocha wa yanga akielekezwa kwa refa ndio wakati huo huo Sonso kafanyia tukio baya zaidi kwa kurudishia na wakati huo huo refa alikuwa kaishaelekeza macho yake kwenye tukio la Sonso.
Hivyo kocha kulalamika ni kwavile tu kapishana na tukio la Sonso kurudisha rafu mbaya kwa mchezaji wa azam hivyo alihisi kuonewa kwavile yeye alifanikiwa kushuhidia tukio la mwanzoni ambapo sonso alichezewa rafu.
2) kusema kuwa refarii alimbagua rangi hilo siwezi msemea akilini mwake alifikiria nini.
3) hilo la miezi sita au saba kufundisha timu tofauti nne sina uhakika nalo labda unipe data juu ya hilo ila nachofahamu mimi huyu kocha hajawahi kukaa na timu kwa zaidi ya msimu mmoja na hilo nalo sio tatizo endapo ndani ya kipindi anachochukua timu, timu ina achieve kitu. Ukiangalia profile yake pamoja na kukaa na timu kwa muda mfupi lakini mwisho wa siku timu inapata mafanikio.
Mimi siwezi kuzungumzia swala la upigaji dili kwa wachezaji au kwa viongozi kwasababu hilo linajulikana katika simba na yanga. Nataka uniambie madhaifu ya kocha kimbinu, kiufundi ni yapi. Matatizo ya wachezaji binafsi asipelekewe kocha kana kwamba labda yeye ndio kawaleta hao wachezaji.
Mashabiki mjifunze kuwa wavumilivu, na kuwa wajuaji. Timu haijengwi kama nyumba kwavile una ela basi hata siku moja unamaliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Refa alizingua kukataa mkono. Ile ni fair play.Yani unapewa kadi ya njano unatoa mkono wa kumpongeza mwamuzi hyo si kejel kwa mwamuzi.Ningekua mm refa ningemalizia nyekundu kabisa.
Kiufup Yanga wameingia chaka,huyu mpiga deal tu.
Anakimbilia ubaguz wakati hakuna aliyembagua.Anajibagua mwenyewe halafu anasingizia kabaguliwa.Foolish.
Sent using Jamii Forums mobile app
January 18, 2020
Dar es Salaam, Tanzania
Azam 1 - Young Africans 0
Kocha wa mkuu wa Yanga mbelgiji Luc Eymail atokwa povu na kulia kufuatia vipigo ktk mechi mfululizo. Na matokeo ya leo Kocha Luc Eymail baada ya mechi ametoa tuhuma nyingi zikiwemo kupewa kadi ya njano, yeye kocha kufanyiwa ubaguzi wa rangi kwa refa kukataa kumpa mkono , maamuzi mabovu ya marefa .
Inaonekano kocha huyu kwa pressure iliyoko ktk klabu, utamaduni wa vilabu vikongwe Tanzania, wanachama na wapenzi wa klabu hiyo kongwe anaweza akatupiwa virago ndani ya siku chache.
Hujamwelewa jamaa. Kasema kocha hakuliona tukio alilofanya Sonso kwavile wakati Sonso anafanya kitendo kisicho cha ungwana kwa mchezaji wa azam, macho ya kocha wa yanga yalikuwa yameelekezwa kwa refaree kumlalamikia faulo aliyochezewa Sonso. Jaribu kucheki jinsi tukio lililovyotekea utaona kocha alivyopishana na tukio la kitendo alichokifanya SonsoMkuu Ali Sonso amechezewa rafu ya kimchezo na wala hakua chini rudia na uangalie vzur hyo clip yako,mara mia angejiangusha na kuugulia maumivu ili mchezaj wa Azam apate kadi lkn sio kumkanyaga.
Kama umeangalia mechi tatu za Yanga kuanzia aliyocheza na Simba utaona kama kuna tofauti ya mabadiliko ni ndogo sana.
Sitegemei mabadiliko ndani ya mechi 2 kwa kuwa yy sio malaika.Halafu pia sijakwambia kwamba kocha ni mbovu nimesema ni mpiga deal,kuna tofauti apo na inaonekana hashauriki.
Mechi ya pili kafungwa kashaanza kusema anafikiria future yake badala ya kuangalia jinsi gan anapata ushindi katika mech zinazofuata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona huyu ana makalio kama ya mwanamke?
Kukataa mkono ni ubaguzi wa rangi?Refa alizingua kukataa mkono. Ile ni fair play.
Tumeshuhudia mara kadhaa huko mbele yakifanyika hayo, wachezaji wakikwaruzana waamuzi huwalazimisha wapeane mikono.
Mimi trafik alinipiga fine nikachukua tiket na kumshukuru. Kwa hiyo ungekuwa wewe ungetaka uniandikie fine nyingine.
Refa katimiza majukumu yake,alitaka apewe mkono wa pongezi na nani?
Sent using Jamii Forums mobile app