Kocha wa Young Africans alia mchezo na Azam FC

.
Your browser is not able to display this video.


Jr[emoji769]
 
Reactions: K11
.
Your browser is not able to display this video.


Jr[emoji769]
 
.
Your browser is not able to display this video.


Jr[emoji769]
 
Kuna uwezekano mocha ataondoka mwenyewe kabla ya kuondolewa anasingizia ubaguzi wa rangi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wape salaam,brand chapa GSM,hakuna janja janja .Ngoja nikamchungulie kwanza muhamasishaji wao halafu nirudi kuyadhihaki ma gongowazi ,mbute mbute fc.Ndegelec wakubwa hawa.
 
Umeongea kisports sana mkuu,Yanga jana pamoja na kufungwa bado ilicheza mpira mzuri kupita azam,binafsi sijaiona Yanga iloyocheza mpira mzuri kama jana toka alipoondoka kocha hans
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mzungu analalamika basi kuna shida sehemu, wazungu hawana tabia yakulalamika hovyohovyo, huyu atakuwa mzungu feki, morinyo alikuwa na tabia ya kulalamika saivi kaamua aanze kupiga chabo kujua wenzie wanafanyaje
Morinyo uwe unamzungumzia kwa heshma, yule ni great coach, sema ni mjeuri na ana ukorofi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wewe ungekataliwa ungeona hvyo wenzetu vitu vidogo vinakuwa vikubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea kisports sana mkuu,Yanga jana pamoja na kufungwa bado ilicheza mpira mzuri kupita azam,binafsi sijaiona Yanga iloyocheza mpira mzuri kama jana toka alipoondoka kocha hans

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi sina shaka na uwezo wa kocha, shida mashabiki wa bongo ni vigeugeu sana. Alikuwa Zahera mwinyi mashabiki wakalalamika kuwa timu haichezi mpira wa kueleweka na haijulikani hata yanga inacheza mfumo gani, tunashinda kwa faulo na bahati nasibu.

Katimuliwa zahera kapewa timu mkwasa, mashabiki hao hao walilalamika kuwa timu inabutua butua tu mpira hauna hata radha mara mpira haueleweki pamoja na kupata goli za moja moja za bahati nasibu. Kaletwa kocha mpya hata wiki mbili hajamaliza tokea aanze majukumu yake, unaona kabisa yanga wanatawala mchezo, wanapiga penetration pass, wanacheza mpira wa kuvutia lakini matatizo binafsi ya mchezaji inayagharimu timu, lakini lawama anatupiwa kocha.

Jana kocha kachezesha mifumo tofauti tofauti katika mechi moja yote hiyo ni katika kubadilisha mbinu za kufosi kupata matokeo lakini imeshindikana. Washabiki mnaacha kulaumu michezaji yenu mibovu iliyosajiliwa unamlaumu kocha kuwa mpiga dili. Kwani kwenye profile yake hana records nzuri kwenye timu alizofundisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Ali Sonso amechezewa rafu ya kimchezo na wala hakua chini rudia na uangalie vzur hyo clip yako,mara mia angejiangusha na kuugulia maumivu ili mchezaj wa Azam apate kadi lkn sio kumkanyaga.
Kama umeangalia mechi tatu za Yanga kuanzia aliyocheza na Simba utaona kama kuna tofauti ya mabadiliko ni ndogo sana.
Sitegemei mabadiliko ndani ya mechi 2 kwa kuwa yy sio malaika.Halafu pia sijakwambia kwamba kocha ni mbovu nimesema ni mpiga deal,kuna tofauti apo na inaonekana hashauriki.
Mechi ya pili kafungwa kashaanza kusema anafikiria future yake badala ya kuangalia jinsi gan anapata ushindi katika mech zinazofuata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Refa alizingua kukataa mkono. Ile ni fair play.

Tumeshuhudia mara kadhaa huko mbele yakifanyika hayo, wachezaji wakikwaruzana waamuzi huwalazimisha wapeane mikono.
Mimi trafik alinipiga fine nikachukua tiket na kumshukuru. Kwa hiyo ungekuwa wewe ungetaka uniandikie fine nyingine.

Refa katimiza majukumu yake,alitaka apewe mkono wa pongezi na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti ubaguzi, yeye ndio mbaguzi
 
Yanga ,inabidi wamuonye huyu kocha,Anamtetea Sonso kwa kosa la kipumbavu,.
 
He is frustrated thats all. But mambo yakikaa sawa wakianza kushinda atacalm down
 
Hujamwelewa jamaa. Kasema kocha hakuliona tukio alilofanya Sonso kwavile wakati Sonso anafanya kitendo kisicho cha ungwana kwa mchezaji wa azam, macho ya kocha wa yanga yalikuwa yameelekezwa kwa refaree kumlalamikia faulo aliyochezewa Sonso. Jaribu kucheki jinsi tukio lililovyotekea utaona kocha alivyopishana na tukio la kitendo alichokifanya Sonso

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukataa mkono ni ubaguzi wa rangi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…