Kocha wetu hana uwezo wa kufundisha Simba

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
𝗠𝗔π—ͺ𝗔𝗭𝗒 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗨 π—¬π—”π—›π—˜π—¦π—›π—œπ— π—œπ—ͺπ—˜

Almost tunamaliza mwaka chini ya Robertinho lakini mpaka sasa hatuna identify ya mpira tunao utaka, hatuna kikosi cha kwanza na wala hatuchezi vizuri.

Msimu ulio pita nilidhani labda ni sababu ya ufinyu wa kikosi alicho nacho. Ila sasa ameletewa wachezaji wapya lakini almost wachezaji wote wanashindwa ku-perform chini yake.

Sijui kwenu ila binafsi uvumilivu umeanza kunishinda naona kama ni kocha average ambaye ameshindwa kwenda na mahitaji ya Simba.

Tunataka kocha sahihi ambaye atarudisha identity ya mpira wa Simba [emoji36]

NB. Hapa sim-attack kocha ila naongea reality.

#NguvuMoja [emoji837][emoji836]️

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaongelea wapi.
 
Na imekua fimbo haswaaa.
 
Tabu ipo ni kuwa na kocha mkubwa timu ndogo.
 
Nidhamu ya wachezaji mbovu sana, wachezaji wanywa gongo, konyagi, wengine wavuta sigara and bangi, kocha afanye nini, mpira ni mazoezi, pumzi, stamina na chakula bora, vyote hivyo huwezi kuwa navyo kama wachezaji hawana nidhamu kuvifanikisha vitu hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…