Kocha wetu hana uwezo wa kufundisha Simba

𝗠𝗔π—ͺ𝗔𝗭𝗒 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗨 π—¬π—”π—›π—˜π—¦π—›π—œπ— π—œπ—ͺπ—˜

Almost tunamaliza mwaka chini ya Robertinho lakini mpaka sasa hatuna identify ya mpira tunao utaka, hatuna kikosi cha kwanza na wala hatuchezi vizuri.

Msimu ulio pita nilidhani labda ni sababu ya ufinyu wa kikosi alicho nacho. Ila sasa ameletewa wachezaji wapya lakini almost wachezaji wote wanashindwa ku-perform chini yake.

Sijui kwenu ila binafsi uvumilivu umeanza kunishinda naona kama ni kocha average ambaye ameshindwa kwenda na mahitaji ya Simba.

Tunataka kocha sahihi ambaye atarudisha identity ya mpira wa Simba [emoji36]

NB. Hapa sim-attack kocha ila naongea reality.

#NguvuMoja [emoji837][emoji836]️

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba ni kuulize,sikushambulii kwakuwa mimi yanga.Wakati wa usajili kwa namna yeyote haukuuponda usajili wa wanachii?.Kama sio basi vyema,jua nyota imetuwakia wananchi.Kwa sasa 🦁 mko kwenye hatua ya kujijenga kwani mlibweteka na mafanikio ya kipindi cha karibuni, hivyo kuwa mpole kwa muda wakati mkijijenga upya.
 
wanasajili wachezaji airport
For me challenge is analysing an opponent see who fit with opponent and applying it,Kanute alitakiwa kuingia wkt simba anaongoza ili kubreak opponent attack means unahitaji kuzuia zaidi ilakm unatafuta matokeo simtu sahihi means kocha hawakufanya analysis vzr
 
𝗠𝗔π—ͺ𝗔𝗭𝗒 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗨 π—¬π—”π—›π—˜π—¦π—›π—œπ— π—œπ—ͺπ—˜

Almost tunamaliza mwaka chini ya Robertinho lakini mpaka sasa hatuna identify ya mpira tunao utaka, hatuna kikosi cha kwanza na wala hatuchezi vizuri.

Msimu ulio pita nilidhani labda ni sababu ya ufinyu wa kikosi alicho nacho. Ila sasa ameletewa wachezaji wapya lakini almost wachezaji wote wanashindwa ku-perform chini yake.

Sijui kwenu ila binafsi uvumilivu umeanza kunishinda naona kama ni kocha average ambaye ameshindwa kwenda na mahitaji ya Simba.

Tunataka kocha sahihi ambaye atarudisha identity ya mpira wa Simba [emoji36]

NB. Hapa sim-attack kocha ila naongea reality.

#NguvuMoja [emoji837][emoji836]️

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaheshimu vipi maoni yakiutopolo yaliyojaa ufala
 
Back
Top Bottom