Kocha wetu hana uwezo wa kufundisha Simba

Labda aingie uwanjani acheze ndio mtaridhika,,,,nafasi zinatengenezwa na wafungaji wanakosa kufunga magoli...kosa la kocha ni lipi hapo..

PD pia ni timu na wanahitaji mafanikio.
Umeingia chaka mkuu, huyo aliyeanzisha mada ni UTO PRO MAX, hakuna sehemu mashabiki wala viongozi wa simba wamemlaumu kocha
 
Wachezaji 13 wameshindwa kucheza mpira mnamlaumu kocha.
Mnataka kocha aingie dimbani afunge magoli?
Wachezaji waache uzembe,wafanye mazoezi wacheze mpira hiyo ndio kazi yao.
Sio kulewa tu mkifungwa lawama kwa kocha.
Mtabadilisha makocha wangapi.
Na anayekuja mtamfukuza,
Tatizo sio kocha.
Ni hao Wachezaji maybe hata hawaelewi wanachofundishwa.
 
Labda aingie uwanjani acheze ndio mtaridhika,,,,nafasi zinatengenezwa na wafungaji wanakosa kufunga magoli...kosa la kocha ni lipi hapo..

PD pia ni timu na wanahitaji mafanikio.
Mtu, (mchezaji na goli) ambalo kipa hayupo anashindwa kufunga mnamulaumu kocha buree! kipa hayupo golini mpaka anarudi na kuokoa mpira duu nyie nadhani amsheni bongo zenu kwakufikiri nje ya box
 
Mchezaji anakosa goli za wazi kama tatu hivi, clear chance Yani Kwa mchezaji mwingine hesabu Leo ingekuwa ni kama Tano hivi, hili nalo nani alaumiwe?.
 
Mchezaji anakosa goli za wazi kama tatu hivi, clear chance Yani Kwa mchezaji mwingine hesabu Leo ingekuwa ni kama Tano hivi, hili nalo nani alaumiwe?.
Hawa wanataka miguu ya kocha ifungwe ghafla kwenye miguu ya mfungaji
 
mfukuzeni ili mumlipe mipesa. ila hata kwa kumwangalia tu, yule sio kocha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…